Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,962
- 50,035
Hizi ID nakunbuka enzi za kikweteEiyer na kuna C. T. U
Hizi ID nakunbuka enzi za kikweteEiyer na kuna C. T. U
Rafiki yangu Etweege popote ulipo jitokeze unaitwa huku.
Mara zote huwa nafurahi kuona maandishi yako. I wish hata siku moja nikuone tu sura yako.Nimefurahi sana kukuona Humble...
Oya biikefo manigga huyo ni wa kiume Choo hicho unachoingia ni cha kiumeMara zote huwa nafurahi kuona maandishi yako. I wish hata siku moja nikuone tu sura yako.
Huwa unaishi Dar kwani?
Hatari sanaOya biikefo manigga huyo ni wa kiume Choo hicho unachoingia ni cha kiume
Naishi Dar Humble...Mara zote huwa nafurahi kuona maandishi yako. I wish hata siku moja nikuone tu sura yako.
Huwa unaishi Dar kwani?
Angalia unamuelekeza kibra tushamuonyaNaishi Dar Humble...
Karibu..
Miss ChaggaHebu ongeza wengine
- Masanilo a.k.a Rev. Masanilo
- BAK a.k.a Bubu Ataka Kusema
- klorokwini
- kwinini
- Numbisa
- Nazjaz mfuga majoka
- Jemima Mrembo
- Sumbalawinyo
- @kidukulilo
- Bill Lugano a.k.a tajiri
- litutumbwe
Naunga mkono hoja