Wewe si nilikuona Mzizima?Hakuna ubishi Members wengi wa JF tunapatikana Dar, haya tufahamiane kama majirani kwa kucomment unapoishi kwa hapa Dar
Me napatikana Makongo juu, karibuni tufahamiane jamani.
Hakuna ubishi Members wengi wa JF tunapatikana Dar, haya tufahamiane kama majirani kwa kucomment unapoishi kwa hapa Dar
Me napatikana Makongo juu, karibuni tufahamiane jamani.
Mi niko mbalizi mbeya tupo kama mia tano hapa na tunajuana ukizingua tunakulipua jf. Dar mpo wachache sna.Hakuna ubishi Members wengi wa JF tunapatikana Dar, haya tufahamiane kama majirani kwa kucomment unapoishi kwa hapa Dar
Me napatikana Makongo juu, karibuni tufahamiane jamani.
Aiseee...