JF members ktk picha enzi zao

JF members ktk picha enzi zao

Hahaaaa. I guess its a mood thing.

Tena usisababishe English ipande sasa hivi siitaki.

Ilisababisha nikachimbwa biti na The Icebreaker
Fantastic mood [emoji4][emoji106]

hahaha nimetamani kujua hilo biti ilikuaje...

acha ipande tu English bwana nijifunze na mm saa hii,
 
Hahaaaa. I guess its a mood thing.

Tena usisababishe English ipande sasa hivi siitaki.

Ilisababisha nikachimbwa biti na The Icebreaker
Ahahahaa! Hapana Dada,kua free tu,

Tatizo sisi tusiokua na elimu,yaani wenye elimu duni,maarufu kama darasa la 4b mkiongea lugha ya mkoloni mnatudhulumu!
 
Huyo wa katikati ni mwanachama maarufu sana hapa JF,...View attachment 787881
upload_2018-5-28_10-53-18.jpeg
 
Back
Top Bottom