JF members ktk picha enzi zao

JF members ktk picha enzi zao

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
1,668
Reaction score
1,660
Huyo wa katikati ni mwanachama maarufu sana hapa JF,...
FB_IMG_15273963926074080.jpg
 
Mkuu hawa ni akina nani unawashangaa?

Manake wewe umekaa pembeni na ni dhahir una malaria.

Jua kaliiii umevaa sweta.

Kama sio malaria basi wewe ni wakishua afu mnyonge wao. Full uniform yaani na soksi na kiatu cha Bata. Ila ukivua tu wanakufurahisha.

Simo aisee napita hivi.😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom