Jf Members Arusha na Moshi

Jf Members Arusha na Moshi

Dah!!! Yani ungejua hata soko mjinga sijui liko wapi hata usingesema...

Sasa hapo umezidi kudanganya eti huijui soko mjinga iko sehem gani?na unaish ngarenaro wakati soko mjinga hata hapo ngarna ipo.na pia nimehs hupo arusha au ugeni nawewe pia arusha.karibu
 
sweetlady muongo...mimi wala sikai ngarenaro na mimi ngarenaro najua kuna soko moja tu la kilombero sasa sijui hilo soko mjinga liko pande zipi.
 
Last edited by a moderator:
Thank you all mlionipokea na kunihudumia Moshi na Arusha,,,
 
Sidhani kama umefika Arusha.....

Mkuu filipo tulifika Arusha tukala ugali na nyama choma pale stand kwa chini kuna nyama choma nzuri,halafu tukapelekwa sokoni kwa juu pale chini ya miti kuna wanasiasa pale walikuwa wanajadili hukumu ya lema,tulinunua kahawa na tangawizi na sisi tukakaa chini kusikiliza mabishano,Arusha wameamka sana sanaa
 
Hapo ndio Makuyuni!!! Kama km 90 hivi kufika jijini!!!

Back
Top Bottom