Jf Members Arusha na Moshi

Halafu nimegundua kitu hapa Well known members wengi wa Jf wengi wanatokea Arusha.

Ngoja niendelee kufanya utafiti kwenyee huu uzi..
 
Tatizo uko arusha ngarenaro, mgeni anataka apokelewe na watu wa mjini kama Mungi. Na plz Mungi kama mgeni jinsia yake ni she hakuna kwenda kumpokea!

Tulikubaliana kuwa wageni wote wenye jinsia ya She wanapokelewa na mimi na wewe! kwani Young Master ni gani?
 
Last edited by a moderator:
Tangu nimeijua Jf na kuamua kujiunga nimefaidika na mengi,mojawapo ni kujuwa kwa undani siasa za Tanzania ambazo zamani nilikuwa nazisikia midomoni mwa watu wachache,sasa Jf imeweka kila kitu wazi na kinajadiliwa na wataalam wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja hapa Jf
baada ya kuishi nje ya nchi yangu kwa miaka 17 nimeamua mwaka huu nije nitembee kidogo Tanzania,lakini sipendelei kabisa kwenda Dar bali natamani niende Arusha na Moshi na nitakuwa pale kwa mwezi mmoja
ningependa sana sana kujuana na wana Jf walioko mitaa hiyo,ni vema tukajuana kama dada mmoja aliyeleta shukrani zake hapa jana baada ya kufiwa na mama yake akidai Jf ni zaidi ya family
natanguliza shukrani zangu kwenu Wakuu
ni kweli mkuu jf ni zaidi ya family mpm membe mmoja anaitwa PakaJimmy atakupa maelekezo.
pia kuna safari ya kutembelea sehemu mbalimbali hope utaenjoy zaidi ukiwa na sisi msimu huu wa sikukuu

uje na madollar ya kutosha eeeh
 
Last edited by a moderator:
Asee karibu Mo Tauni jombaa, tukutane hapo Malindi weekend hii.
 
Sorr, nilikuwa namaanisha Delegate ni jinsia gani......... siyo Young Master!
tatizo sweetlady anawamezea wageni wenye jinsia ya He.
Halafu we huna kibali cha kupokea wageni hebu kaa pembeni yangu upande wa kuume
nadhani ni he...anakuja kunipa pole tafadhalini muacheni mgeni wangu
baada ya mwezi nitamleta mwenyewe arusha
 
nadhani ni he...anakuja kunipa pole tafadhalini muacheni mgeni wangu
baada ya mwezi nitamleta mwenyewe arusha

Ohooooooooo Smile usiseme hatujakuambia, hatutaki uje unatembea upande upande tairi moja in pancha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom