Msaada wa shule nzuri za wasichana kidato cha kwanza Arusha na Moshi

Kete Ngumu

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
6,643
6,822
Wakuu kwa hisani ya Wazazi wote wanaotaka kupeleka mabinti wao ktk mikoa ya Arusha na Moshi kujiunga na kidato cha kwanza 2024 tunaoma kujulishwa Shule nzuri ktk mikoa husika.

Shule inaweza kuwa ya mchanganyiko Boys and Girls.

Iwe private, ada isizidi milioni 3.

Natanguliza Shukrani.

Nawasilisha.
 
Maria goreth ipo hapa moshi mjini njoo umuwaishe ni pazuri

Boys wanakaa hostel za nje , girls wanakaa hostel za ndani
 
Wakuu kwa hisani ya Wazazi wote wanaotaka kupeleka mabinti wao ktk mikoa ya Arusha na Moshi kujiunga na kidato cha kwanza 2024 tunaoma kujulishwa Shule nzuri ktk mikoa husika.

Shule inaweza kuwa ya mchanganyiko Boys and Girls.

Iwe private, ada isizidi milioni 3.

Natanguliza Shukrani.

Nawasilisha.

Mpeleke Kibosho ama Visitation hutojuta!
Huko ada haifiki hiyo 3m.
 
kama wa kike mpelele Anwarite though wanapokea watoto bright tu wale waliopata kuanzia wastani wa 90 kupanda juu kwenye interview zao ufaulu wao pia ni 99%
 
Back
Top Bottom