JF Member of The Year is...

naona viongozi wameamka!ngoja nianze kujenga hoja za kuondoka
 
Huu mwaka unaishia kuna watu wamenifurahisha sana kwa comment zao motomoto na sisiti kuwataja hapa na kama wewe una wako unaweza toa ila tutaangalia aliyetajwa zaidi na tutamtunuku JF MAN OF THE YEAR.

1. Chrispin
2. Kloroquin
3. Maxshimba
4. Bluray
5. Kibunango
6. Dark City
7. Katavi
8. Burn na Radical-mashairi yenu mazuri sana.
9. Masanilo
10. The boss- mutu ya vitabu mingi

Karibuni.
bado ni kanyuu comer , iz veri difikalti kuwataja bat i sinki.
1)nguli
2)pakajimmy
3).........

kwa mawaif to bii
1)carmel (hapa avatar ya carmel imetoa rushwa)
2)bht.
3)kale kadada kanakouza mitsubishi a.k.a jaza mwenyewe

wanaoboa.
1) kuna lizembe linapenda kujipa ulaji kwenye masredi yake(jina kapuni). aaaargh linaniboa. likiniboa zadi nitalitaja kwa herufi capital
 
Nguli
Fidel80
Masanilo
Nyani Ngabu (Hivi yuko wapi huyu mtu nowdays simuoni kabisa)
Pakajimmy
Chrispin
Geof
 
Back
Top Bottom