Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,401
hii kesi unayoinunua nguli sisi itatushinda.
binafsi itanishinda kwasababu mim siko vizuri kwenye political-findings.mimi simo bwana
Naona labda kashanunua baruti! Ngoja malegend waamke!
hii kesi unayoinunua nguli sisi itatushinda.
binafsi itanishinda kwasababu mim siko vizuri kwenye political-findings.mimi simo bwana
si wakati ule unatongoza alafu dem anang'ata chucha na kuchora chini au?
U guyz ur learning slowly
ikiwa na neno MEMBER btn jf na of nadhani kitu kitakuwa mwake mwake baba ake!Kwa nini hiyo isiitwe "The best JF of the Year"? Hapo kutaleta usawa zaidi na itarahisisha hata kuitamka na kupanua mjadala kwa wadau wa JF.
aisee umekumbukaje?
Mi nilifikiri ushasahau..
Siku hizi umeacha kung'ata kucha na kuchora chini?
Leo naona anamkutano na mwenye hii nchi na ujumbe kutoka kwa mandela.
Tatizo la uboss hilo....mpe hi lakini
kama hiyo tuzo ipo nadhani ntaibeba.
mhhh.
Ipi sasa?
Man of the year au
woman of the year?
mhhh.
Ipi sasa?
Man of the year au
woman of the year?
shishi naomba hiyo avator uitoe,Geoff
Fidel
KAizer
shishi
masa