JF Member of the Month

hiyo prize anatoa nani ,wakati wa makabidhiano naomba niwepo maana mie ni mwanachama mgeni lakini aliye hai forever
 
Idadi ya posts itaangaliwa, contents ndani ya posts itaangaliwa, points za mhusika zitaangaliwa, activity itaangaliwa na automatically system itatoa stats za kueleweka nasi tutamtangaza Member of the Month na atakuwa awarded certificate maalum (inatengenezwa) kwa nickname yake hapa JF.

Nimesomeka mkuu?
ningependekeza apewe pesa/mshiko hii ingesaidia mijitu kama Nyani Ngabu ianze kuandika pweinti....
 
ningependekeza apewe pesa/mshiko hii ingesaidia mijitu kama Nyani Ngabu ianze kuandika pweinti....

Mpwa karibu sana pole na mwezi wa toba naona utakuwa umejirekebisha.
Lakini nimepata nyepesi upo Dar na umefulia tutafutane nikuwezeshe.
 
Invisible, unaonaje vigezo pia vizingatie mtumaji post anatuma akiwa wapi, namaanisha kama ni bongo au nje ya bongo, usije ukafanya watu wakashinda internet cafe waki-post threads. Hali ya bongo si unaijua mkuu na miundo mbinu yake? kwa hiyo haitakuwa haki kuwashindanisha kwa mfano wakina fidel ambao labda net inakamata mpaka ****** na wale ambao mpaka wapange foleni nipo waingie cafe.
 
kwa hiyo haitakuwa haki kuwashindanisha kwa mfano wakina fidel ambao labda net inakamata mpaka ****** na wale ambao mpaka wapange foleni nipo waingie cafe.

Dah habari za siku mama umepotea kweli vp majukumu nini yamekuelemea?
 
Nasikia umefulia wewe. Hebu nicheki nikutumie Western Union

Nataka kesho nimleke Mlimani city pale akarekebishe afya toka atue anakula kwa mama ntilie sasa sio vizuri kwa star kama Yo Yo.
 
Mkuu invisible. This is great!! Hata mtoto akifanya vizuri ukimtunza morally au materially basi inampa hamasa ya kufanya vizuri zaidi. I believe it will also work the same way here. Congrats to all who worked hard and placed themselves in the list. Bravo!!!
 
Back
Top Bottom