Internship millioni kumi (10,050,146.26) per month

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,328
8,243
Fully Funded Internship for International Students in Geneva, Switzerland

1706431353748.jpeg

Duration: 2 to 12 months.

Benefits: 3407 Swiss Francs per month, travel allowance, health 2,5 days of paid leave per month.

Deadline: March 11, 2024.

3407 Swiss Francs ni sawa na millioni kumi (10,050,146.26) Tsh

Internship Link: CERN Administrative Student Programme 2024, Switzerland | Fully Funded

For more opportunities: Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka
 
Wee unaona maombi ni bure wakati unalazimika kutoa taarifa zako binafi na taaluma zako za vyeti kwa magenge ya kitapeli! Mara tu ukianza kuomba na kujaza jina, umri, namba za simu, vyuo ulivyosoma n.k, matapeli ndo unawapa mwanya wa kukupiga huko mbeleni!
Ondoa wasiwasi ndugu yangu. Fungua Link anza kufanya maombi hizo nafasi zipo na zinatangazwa kila siku. Na maombi ni bure na tunaomba kila siku.

Tupo makini ndugu yangu kila tunachokileta humu tunakitoa sehemu salama.

Ukianza kufanya maombi utaingia huku.
Screenshot_20240128_170020_Chrome.jpg
 
Ivi sister ww unafaidika na nn kuhusu huu udhamini kama ni Bure.
au wanao toa hizi scholarship wao Huwa wanafaidika na nn( coz naona zinapromotiwa San afu for free)
NB nauliza tu so Kwa ubaya lakn
 
Wanaigeria na wahindi wanaongoza kwa kuscam duniani kuwa makini tu
 
Wee unaona maombi ni bure wakati unalazimika kutoa taarifa zako binafi na taaluma zako za vyeti kwa magenge ya kitapeli! Mara tu ukianza kuomba na kujaza jina, umri, namba za simu, vyuo ulivyosoma n.k, matapeli ndo unawapa mwanya wa kukupiga huko mbeleni!
kama watakuwa wanahitaji uwatumie pesa si unawakwepa,mie nikionaga post yoyote natuma ila nikiona naambiwa nitume hela hata buku tu nasepa zangu
 
Fully Funded Internship for International Students in Geneva, Switzerland

View attachment 2886060

Duration: 2 to 12 months.

Benefits: 3407 Swiss Francs per month, travel allowance, health 2,5 days of paid leave per month.

Deadline: March 11, 2024.

3407 Swiss Francs ni sawa na millioni kumi (10,050,146.26) Tsh

Internship Link: CERN Administrative Student Programme 2024, Switzerland | Fully Funded

For more opportunities: Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka
Moja ya vigezo ni:
  • The applicant must be a national CERN Member or a CERN Associate Member State.
Kindly fafanua kdg hiki kigezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom