JF Member of the Month | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Member of the Month

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Invisible, Sep 17, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Sep 17, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160

  Attached Files:

 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Robot,

  Hii isije ikatumotivate kuwa top posters kwa kujaza pumba mkuu! Does the content matter kny hizo awards?
   
 3. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Very good idea Mkuu. It motivates.
   
 4. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  NL,
  It does not matter kwani hata asipofanya hivi anaweza control ujazaji wa pumba? No one can control the contents of the posts. Hii ni recognition tu based on one criteria ambayo ni top posting.

  Off topic: Nimeona NL unafukuzia na kuonyesha interest kwenye ile ndondova 110, unataka ununue nini utekeleze ule mradi wa misitu? Tehe tehee.... hujambo though!
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Homeboy vp tena!!
  Unataka watu wawe wanaogopa kuchangia kwa kujihoji hii ni point au pumba je itamfurahisha nani? Waache watu wajimwage
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  Sep 17, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Idadi ya posts itaangaliwa, contents ndani ya posts itaangaliwa, points za mhusika zitaangaliwa, activity itaangaliwa na automatically system itatoa stats za kueleweka nasi tutamtangaza Member of the Month na atakuwa awarded certificate maalum (inatengenezwa) kwa nickname yake hapa JF.

  Nimesomeka mkuu?
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Sep 17, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  System ina uwezo wa kuchambua content?
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mhhh kumbe nipo nipo JF!
   
 9. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu nimekusoma vilivyo.......! Now can say...that's brilliant idea!
   
 10. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,454
  Likes Received: 7,220
  Trophy Points: 280
  Yoyo upo wapi?maana nawaona masa na fide tu.hONGERENI KWA AWARD
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Napokea pongezi kwenye PM tu sorry!
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Upo Mkuu. Mie pia najiona ndani, mama weee kumbe nimechangia nyingi namna hiyo. Itabidi nikimbie kwa muda maana kazi za kuandaa mashamba kwa kilimo ndiyo zinaanza, miti inaanza kuota majani, ile green yake hadi inaleta raha. Masa, maembe ndiyo yanakaribiakaribia maana mwezi ujao watu ukiamka ni maembe, ukilala ni maembe...

  Fidel, unafanyafanyaje hadi uwe na 600? Mie imenichukua miezi kufikia hiyo na ninalalamika kuwa inabidi nikimbie.... HONGERA kwako na wote waliopo kwenye LIST.
   
 13. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  HB......worry yangu ni wale jama watukanaji na wachufua hewa huku ndani.......tena kukiwa na kamotivation.....itakuwa balaa!

  Mkuu....NEVER GIVER UP.....Robot kacomment hapo juu......nakubaliana na yeye 100%! criteria ni idadi, content, hoja (points) na activity......upo hapo kijana wa Hall Six?

  Daah mzee una macho ya ndani sana.....aisee! Nikwambie kny kila bandiko la Kitomai linalohusu, Pickup, Rover, Tractor.....lazima nimepitia huko! Hizi zana ni muhimu sana kny ile issue......watch out kijana utaachwa kitonga......! Otherwise mambo poa mkuu!
   
 14. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,454
  Likes Received: 7,220
  Trophy Points: 280
  Ohoooooooo subiri hadi YESU atakaporudi.Thank God ujumbe umefika si umepasoma jamani
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nimesoma ila sijazipokea.....I will keep waiting for the messiah...!
   
 16. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  safi sana
   
 17. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Hawavumi lakini wamo!
   
 18. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Swadakta! Hapo umeena Mkuu. Watu kama akina Shapu hawavumi lakini wamo, tena sana ila in a season. Sasa Mkuu Robot huja wa-consider kwenye hizo awards. Ingawa tunatokeza kwa muda tunakuja juu halafu tunapotea. Je hujatufikiria ingawa tunaweza kuwa top 25 from below!
   
 19. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ha!ha!ha!ha!ha!ha!ha!haaaaa!.......kijana usilie.......nilikwambia....ligi..ligi..ligi.....! unaona magepu ..eheee? subiri nivute ile Rover...ha!ha!ha!haaaa!
   
 20. Komamanga

  Komamanga JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu Next Level hapo umenena sanaa..na ushauri kwa Robot nafikiri kuwe na vigezo kama kuangalia hoja na mantiki nzima ya mchangia na sio ili mradi kaposti tuuu
   
Loading...