"JF M & F Politician Of The Year 2011" Competition

Wafuatao Wamepitishwa Majina yao na Tume ya Uchaguzi kufuatia kura za maoni kwa Ajili ya Kupigiwa Kura.

Female Nominations:

1. Faiza Foxy – Kura 4
2. Josphine – Kura 2

Male Nominations:

1. EMT - Kura 3
2. Mchambuzi – Kura 3

Majina haya sasa yatapigiwa Kura kwa siku mbili:

Wasalaam
Superman-Logo.jpg

Signed & Sealed:

Superman

Mwenyekiti - Tume Ya Uchaguzi ya JF (JEC)



Mkuu naruhusiwa kutoa pingamizi?
 
Final List ya Female nominee haijakaa sawa kabisa.

I mean wote wanapungukiwa sifa fulani fulani.
 
Kumbe kuna la zaidi ya kuchangia hoja!
Jf the Home of Great Thinkers!

Nampendekeza Crashwise as the Jf Male Politician of the year
 
Ili jukwaa linamajungu sana,, leo ili uweke sijui thead ni mpaka uwe na umepost mara 500..
Hata kama una jambo la msingi..?!
Ila itajulikana tu kama hili jukwaa la watu wote au watu flani,flani..
 
Back
Top Bottom