"JF M & F Politician Of The Year 2011" Competition

Kwa wanaume
EMT
BEN
MCHAMBUZI
(Naomba Mzee Mwanakijiji asishindanishwe maana yeye atakua hana mpinzani, isije ikawa kama The Boss na Mbu)

kwa Wanawake
Marehemu Regia Mtema anastahili (Ikumbukwe tunaongelea mwaka jana)
 
Kwa kweli hii kazi ni ngumu sana, wanasiasa wengi wako makini, lakini hakuna jinsi lazima apatikane kinara.

Mapendekezo yangu ni haya;

Wanaume; Nguruvi3, Mag3 na EMT,

Wanawake; Gaijin na AshaDii.
 
Kuna sababu zozote za msingi za thread hii kuwa Sticky hapa na zile zingine kuwa MMU?

Supermoney, uko earmarked so chunga sana mdomo wako na tumia lugha za staha la sivyo BAN nyingine itakukumba sasa hivi.

Back to the point:

Hakuna Jukwaa lolote ambalo unaweza ukaweka thread ambayo majukwaa yote yakaona. Linawezekana hilo kama Uongozi wa JF unaweza kuweka pale tu unapofungua jamii Forums.

Toka 2009 tumejaribu majukwaa mbalimbali na Mods nao waekuwa wakihamisha toka jukwaa hadi jukwaa mfano majukwaa ya Celebrity; entertainment, Mchanganyiko na MMU unaweza kuona ni vipi ilivyo vigumu.

Thread hii ni thread binafsi kama thread nyingine yoyote na wala haina mamlaka ya kudai ipewe upendeleo wa kukaa mbele kabisa ya JF (Kama ilivyokuwa 2010 wakati wa Uchaguzi wa Rais).

Nimelielezea hili sehemu nyingi sana. kama una maoni tofauti, elezea wapi iwekwe ila huna haja ya kutumia lugha isiyo na staha.

Bado unao uwezo wa kuanzisha shindano la namna yeyote ili mradi kuzingatia Sheria za JF

MMU = mahusiano, mapenzi, urafiki

Ufahamu kuwa unamchagua Mtu kwa kumpigia kura lazima kuwa na mahusiano yanayotokana na mtu kusoma posts unazotoa. Hii ndiyo sababu.
 
Kwanza kwa mara nyingine ningependa kukufahamisha usinitishe na ban hata kama kuna moderator unayemtegemea una urafiki nae binafsi, hapa member wote tuna haki sawa na kila mtu ana haki yake ya kutoa maoni, kitu ukikileta hapa huna haki ya kutufundisha namna ya kuchangia otherwise anzisha forum yako ili uwe dikteta. kila mtu alijiunga na JF baada ya kukubaliana na sheria na kanuni za JF. Jibu hoja wacha kuleta mikwara mbuzi.
 
Mkuu hoja zako nimeshazijibu unachotaka ni nini?

Mimi siko katika ligi wala sina haja ya kumfunga mtu mdomo since 2007. You can check all my posts uone huo Udikteta unatoka wapi.

Instead karibu post zako nyingi zimejaa kejeli zisizo na msingi.

Nimemaliza. Subiri salamu zako.
 
Nasubili hizo salamu kwa hamu ili nijue kwamba wewe ndio mmiliki wa JF pamoja na mawazo ya members wote unayamiliki wewe.
 
superman na supermoney ni mtu mmoja, mchizi unajipa shutuma halafu wewe mwenyewe unajijibu, unajitishia halafu unajihami mwenyewe. Duh! We mchizi ni burudani tosha kabisa.
 
Think critically sisi ni watu wawili tofauti na tofauti yetu ni kwamba mimi ni mpinga uonevu na mwingine anataka kumis use The power of Moderators. Haikubaliki.
 
Mkuu Superman mi naona kuna mgongano wa kikatiba (Katiba ya JF), Humu JF hatujuani kijinsia (ukiondoa member wanaotumia majina halisi) sasa tutakua na uhakika gani fulani ni MALE au FEMALE ?? Mf. Mi naweza kusema bila shaka yoyote kuwa Faizafox ni kidume. Kama sisi ni Great Thinker basi tuishi na kutenda hivyo..! Nawasilisha
 
Hakuna cha Uonevu. Sheria ni Msumeno. Haki Bin Haki,

Sijawahi kumwonea mtu katika posti yangu yoyote, wala, kutukana au Kukebehi au kukashfu au kubeza.

Tuongee kwa kushindana kwa nguvu ya hoja Mkuu,
 
Mkuu Superman mi naona kuna mgongano wa kikatiba (Katiba ya JF), Humu JF hatujuani kijinsia (ukiondoa member wanaotumia majina halisi) sasa tutakua na uhakika gani fulani ni MALE au FEMALE ?? Mf. Mi naweza kusema bila shaka yoyote kuwa Faizafox ni kidume. Kama sisi ni Great Thinker basi tuishi na kutenda hivyo..! Nawasilisha

Mkuu, hoja yako ina mshiko na kila Mwaka tunaiongelea.

Nadhani kama ilivyoongelewa kwenye post kuu hapo juu:

1. Kama ni category ya WOMAN lazima uwe umemdhania kuwa unayempendekeza ni Mwanamke na una ushahidi wa Kimazingira. katika hali ya mashaka, uhakikisho wa jinsia kutoka kwa muhusika aliyependekezwa utafanya akubalike. Uamuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi - JEC (Superman) ya Shindano hili utakuwa ni Final. wote mnahakikishiwa hakutakuwa na Uchakachuaji.

Hata hivyo pamoja na hayo haitupi uhakikisho wa 100% kuwa huyu mtu ni HE au SHE,
 
superman na supermoney ni mtu mmoja, mchizi unajipa shutuma halafu wewe mwenyewe unajijibu, unajitishia halafu unajihami mwenyewe. Duh! We mchizi ni burudani tosha kabisa.

Kamanda si mtu moja.

Utagundua kwa kupitia post na kuona namna kila moja anavyoposti.

Mkuu huyu huenda alianzisha jina hili kwa makusudi lifanane na Superman.

Hoja ya msingi hapa si kutishana au kutukanana au kejeli nk, bali tuongee kwa hoja. Inaposhindikana na moja akaanza kudhalilisha wenzake kwa vijembe bila hoja, haileti tija.
 
Nasubili hizo salamu kwa hamu ili nijue kwamba wewe ndio mmiliki wa JF pamoja na mawazo ya members wote unayamiliki wewe.

Nadhani salamu umeshazipata. Mimi si mmiliki wa JF ni Mwanachama kama ulivyo wewe na wala similiki mawazo ya Members. Nawaheshimu na naamini kuna wengi pia yunaheshimiana.
 
Ni utani mwanakijiji kuwekwa mashindanoni jamani! Anapost nyingi mno na hakuna pumba hata moja.tukubali MM ni next level atolewe tu!!!
 
Back
Top Bottom