"JF M & F Politician Of The Year 2011" Competition

Nampendekeza Ritz awe Jf male politician of the year 2011.
Na pia Regia Mtema(rip) awe jf female politician of the year 2011.
 
nominations%2Bclosed.jpg
 
Kwa Category ya JF Female nadhani ni heshima kubwa kupeleka tuzo hiyo kwa Hayati Regia Estilaus Mtema
 
Na zitahesabiwa hapa kibarazani kila mtu akiona . . .
 
Wapigara kua kama mnavyoyaona maboksi haya, hakuna hata moja lililofunguliwa . . .
 
Sasa kura zote tunazimwaga hapa na kuanza kuzihesabu . . .
 
Haya Wakuu, kura zoote kutoka post zoote zimependekeza wafuatao . . . .

Man - Nnauye Jr

Woman - Mary Chitanda

Nawasilisha

waberoya......hana msindani

Mi kwa wanaume nawapendekeza FJM,EMT na mtani Mwita Maranya...
Kwa akina mama nampendekeza Gaijin

Wakuu mie naombeni maelezo kifupi, wapi faiza fox siku hizi? Nn kimempata. Pia nampendekeza Josphine Mshumbuzi.

Mzee Mwanakijiji ..
Gaijin

SlidingRoof (hiki kichwa hatari tupu!),Mchambuzi na Mwanakijiji (hawa ni kwa Male politician) and Faiza Foxy hana mpinzani kwa kina dada!!

Mzee Mwanakijiji (Male)
Faiza Foxy (female)
Kumbukeni, tunaongea kuhusu 2011, sio 2012...

Napendekeza Paka Jimmy kwa wanaume - ananifurahisha anavyojenga na kutetea hoja zake hapa jamii forum
Kwa wanawake nampa Big Up Faiza Foxy japo siku hizi ameadimika lakini huwa ukifuatilia hoja zake unaenjoy, ni mbishi kwa kutetea hoja zake hakubali kushindwa hata kidogo hata pale anapotakiwa kushindwa.

Mkuu nilikuwa nakukumbusha tu siyo viroja, lakini ahsante. Siwezi kukosa tuzo kwa hilo!

Superman mimi kwenye male politician nampendekeza Mchambuzi. Huyu Mkuu huwa anatoa uchambuzi wa kisiasa ulioenda shule na si shule ya kata bali zile za middle school. Japokuwa nadhani ni muumini wa CCM lakini hutoa uchambuzi wake ambao hauko biased na huwa havutwi na mahaba kwa chama chake.

kwenye uchambuzi wa kisiasa napendekeza, NGURUVI 3, MUSHI, MWITA MANYARA, MKANDALA

NB. napendekeza kushindanisha na mtu anayetoa vya jikoni na vyakutoka UWT, mfano JB, MTOA HABARI, HUTAKI UNAACHA, WA 16 ...........

Nampendekeza, ''Hutaki Unaacha'' kwa upande wa politician man. Huwa namkubali sana kwenye mada zake hasa ile yenye tittle isemayo ''JK huu Mtandao ni hatari , Usipoangalia waweza kuwa History Party I.'' Na pia Histort party II. Bravo sana Hutaki Unaacha!! Kwa upande wa politician lady nampendekeza Josephine Mshumbuzi. Huyu mama huwa akirusha thready yake inapata mshiko sana hapa JF. Akirusha tu utashangaa wanabody waliokuwa likozo wote wanajitoza pasipojulikana wanakotokea. Bravo sana sister J. Mshumbuzi!!

Faiza fox hana mpinzani kwa upande wa wanawake.

Pasco wa JF na Lowassa.

Kwa wanaume
EMT
BEN
MCHAMBUZI
(Naomba Mzee Mwanakijiji asishindanishwe maana yeye atakua hana mpinzani, isije ikawa kama The Boss na Mbu)

kwa Wanawake
Marehemu Regia Mtema anastahili (Ikumbukwe tunaongelea mwaka jana)

Jason bourne-JF MAN OF THE YEAR 2011

AshaDii -JF WOMAN OF THE YEAR 2011

Kwa kweli hii kazi ni ngumu sana, wanasiasa wengi wako makini, lakini hakuna jinsi lazima apatikane kinara.
Mapendekezo yangu ni haya;
Wanaume; Nguruvi3, Mag3 na EMT,
Wanawake; Gaijin na AshaDii.

JF MALE POLITICIAN OF THE YEAR 2011" na
· Mwanakijiji

"JF FEMALE POLITICIAN OF THE YEAR 2011"
· Zion Daughter

Nampendekeza Ritz awe Jf male politician of the year 2011.
Na pia Regia Mtema(rip) awe jf female politician of the year 2011.
 
Female Nominations:

1. Mary Chitanda
2. Gaijin
3. Gaijin
4. Gaijin
5. Faiza Foxy
6. Faiza Foxy
7. Faiza Foxy
8. Faiza fox
9. Josphine
10. Josephine
11. Regia Mtema
12. Regia Mtema
13. AshaDii
14. AshaDii
15.
Zion Daughter

Male Nominations:

1. Waberoya
2. FJM
3. EMT
4. EMT
5. EMT
6. Mwita Maranya
7. MWITA MARANYA
8. Mzee Mwanakijiji
9. Mzee Mwanakijiji
10. Mzee Mwanakijiji
11. Mzee Mwanakijiji
12. Mchambuzi
13. Mchambuzi
14. MCHAMBUZI
15. JB
16. MTOA HABARI
17. HUTAKI UNAACHA
18. Hutaki Unaacha
19. WA 16
20. SlidingRoof
21. Paka Jimmy
22. NGURUVI 3
23. Nguruvi3
24. Ritz
25. MUSHI1
26. MKANDALA
27. Pasco wa JF
28. BEN
29. Jason Bourne
30. Mag3

Tume itapitia majina yote na Kuteua wagombea wenye kura nyingi (kati ya wawili na Watatu na Kuwapigia Kura)

Angalizo:


  • Kuna baadhi ambao hawaamini katika Shindano hili na ambao walishaomba wasishindanishwe. Tume itaamini Maamuzi yao.
  • Kuna ambao pia kwa uzoefu wao na Michango yao miaka nenda rudi, waliombwa wasisishinanishwe. Tume itaheshimu maamuzi yao.
  • Na kuna ambao hawatapenda kuwa washindi zaidi ya kategory moja. Tume pia itafanyia kazi Maoni yao.

    Wasalaam
    Superman-Logo.jpg

    Signed & Sealed:

    Superman

    Mwenyekiti - Tume Ya Uchaguzi ya JF (JEC)
 
Pia ikumbukwe kuwa Washindi wa Miaka ya Nyuma Hawashiriki Tena.
 
Wafuatao Wamepitishwa Majina yao na Tume ya Uchaguzi kufuatia kura za maoni kwa Ajili ya Kupigiwa Kura.

Female Nominations:

1. Faiza Foxy – Kura 4
2. Josphine – Kura 2

Male Nominations:

1. EMT - Kura 3
2. Mchambuzi – Kura 3

Majina haya sasa yatapigiwa Kura kwa siku mbili:

Wasalaam
Superman-Logo.jpg

Signed & Sealed:

Superman

Mwenyekiti - Tume Ya Uchaguzi ya JF (JEC)



 
Back
Top Bottom