Jf legeza ubongo

Broken English na watu wanaelewa? we mzee una nongwa sana.

Tena sio broken English ni broke Kiswanglish
Umejuaje kama watu wanaelewa?

Hivi unajua kua hata Bubu hua anaeleweka? Kwahiyo Bubu kueleweka ndio itachukuliwa kua ana uwezo wa kuongea kisa anaeleweka?
 
🀣🀣 hapana bwashee, ila dogo kadai natamba napesa ila sina πŸ˜ƒπŸ˜ƒ huu ududu wa bia hapa nakunywa ,sijui nimepata wapi🀣
Bwashee unajua hawa watoto waliopigwa na maisha hua wanajiaminisha kua kila mtu anaishi maisha kama wao,
Muache tu ajifariji huenda ikawa inampa nafuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…