JF kwa misimu bana, khah!

JF kwa misimu bana, khah!

si useme tu ZOMBIE...

ahahaahhahahhahahhaha mi simo! Kongosho mi wala sijasema haya maneno!huyu mtania anataka kutuchonganisha!
Konnie mi na weye hatujakutana barabarani huu ni upepo tu bana!(kwih kwih kwhi )ajali za kimaandishi tu hizi!
 
Last edited by a moderator:
hao upishi wake muone zinduna. Ikishindikana kwa ujanja wa mjini anakupa zongo la maana. Mateka anatulia tulii bila wasiwasi!

Mnataka tuendelee kuwa mateja kwenu tuu eeh? copy BAK COPY @sowhite
 
Last edited by a moderator:
Konnie we ako poa? Leo nakupitia yale maeneo,mida ya jioni lakini..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom