Hehehee yan humu members ndio mamodi....mtu akileta mambo ya ki dot komu anaambulia za uso mbayantakuwa hapa kwa muda mrefu.
Bora aisee, hii free zone.
Hehehee yan humu members ndio mamodi....mtu akileta mambo ya ki dot komu anaambulia za uso mbaya
kwa sasa napatikana sana jukwaa la mapishi....nimeamua kupika mwaka huu....
wapi ankoli Mtambuzi hai nyu iya da konnie
Umeamua kupika au umeingia kujifunza?hahahahahaha
mwanamke mapish sio kujipararuanimeamua kupika mpaka basi.........
nakumisije sasa!happy nyuya tuu
hivi kuna mapishi ya kuwapika akina ME?