JF Kuzuri Jamani! JF naipenda

JF Kuzuri Jamani! JF naipenda

kikilo

Senior Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
114
Reaction score
70
1. Ukichoka fungua JF uchovu utaisha
2. Ukipatwa na upweke gonga JF utacheka
3. Ukitaka kufahamu nini kinafanyika Tanganyika na Zanzibar gonga JF
4. Ukitaka buradani ya maneno ingia JF
5. Ukitaka kupata umbea JF tu!
6. Ukitaka kupata ushauri mchanganyiko ni JF
7. .......
Nani kama JF?
 
Ukitaka mchumba, ingia jf
ukitaka kuchunwa, gonga jf
hureee!
 
Ukitaka ukitaka kuona ulimbukeni wa .....ingia JF
 
ukitaka ushushuliwe, post thread yako jf bila kuifikiria. Utajuuuuuuuuta
 
Ukitaka Kujua Kuwa Matatizo Yako Ya Ndoa Ni Cha Mtoto Kuna Wenye Matatizo Ambayo Huwezi Kudhania Yapo Duniani Ingia Jf! Jf Hoyeeeeee!
 
Hapa umenena vema aisee...nshawahi kupost humu sredi moja hivi ...watu wakanishushia facts... mbona nilijuta kwa nini nimeianzisha

Hahahaaaaaaaa! Acha woga! Mimi nisipopost utumbo sisikiii raha kabisa!
 
Hahahaaaaaaaa! Acha woga! Mimi nisipopost utumbo sisikiii raha kabisa!
Ni kweli..ila kuna baadhi ya majukwaa usiguse aiseee...Jukwaa la SIASA, Jukwaa la JAMII INTELLIGENCE ogopa...watu hawakawii kukupa za uso uki post pumba....na BAN kule zinamwagwa kama NJUGU.....
 
Hapa umenena vema aisee...nshawahi kupost humu sredi moja hivi ...watu wakanishushia facts... mbona nilijuta kwa nini nimeianzisha

hahahaaaaa naona ulitaman ubadilishe username. Kuna watu wako special kwa kushushua humu aisee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom