BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Hahahahah lol! Chezeya JF weye!!! Mtu anashushiwa facts halafu anaondoka kimya kimya kwa minyato
tena bila hata kuaga lol!
Hapa umenena vema aisee...nshawahi kupost humu sredi moja hivi ...watu wakanishushia facts... mbona nilijuta kwa nini nimeianzisha