Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Kwa nini chama cha siasa? Kwani chama cha siasa pekee ndicho chenye nafasi ya kuwakomboa watanzania?

Nyie mnaoishi huko ng'ambo hamjui nini kipo hapa; Kwanza JF ni zaidi ya chama cha siasa; kwa nini mnataka kujisumbua namna hii; kuna vyama; vinawasikiliza kama JF kwa mawazo na michango; naona lengo ni kujenga; vyama vilivyoppo pia vilianza na vimefanya kazi inayoonekana; sasa mie naona tunataka kupotea njia hasa kwa kudanganywa na watu wasio kuwa huku nyumbani; JF ibaki JF na kazi yake inajulikana sasa kama chanzo cha habari; mie nina wazo la kuona kama tunaweza kuanzisha ALL_BRAIN TEAM (ili wazalendo wenye malengo ya maendeleo; ubunifu wowote; biashara nk waweze kupata msaada) to name it good JF ThinkTankers..
Tumeisha anza kubaguana, wa ng'ambo, wa ndni, tutaendelea wa DSM, KIGOMA, zanzibar, tukifika mbeya tutaanza wa mwanjelwa, kyela, rungwe mpaka vijiji!...
and I say YOU are DELUSIONAL! lol
tutakiitaje chama hicho
Chama cha Jamii Demokrasia, Maendeleo na Forums au?
It reminds me of a Top Cat cartoon On a serious note, I'm pessimistic.
Kwa nini chama cha siasa? Kwani chama cha siasa pekee ndicho chenye nafasi ya kuwakomboa watanzania?
Nyie mnaoishi huko ng'ambo hamjui nini kipo hapa; Kwanza JF ni zaidi ya chama cha siasa; kwa nini mnataka kujisumbua namna hii; kuna vyama; vinawasikiliza kama JF kwa mawazo na michango; naona lengo ni kujenga; vyama vilivyoppo pia vilianza na vimefanya kazi inayoonekana; sasa mie naona tunataka kupotea njia hasa kwa kudanganywa na watu wasio kuwa huku nyumbani; JF ibaki JF na kazi yake inajulikana sasa kama chanzo cha habari; mie nina wazo la kuona kama tunaweza kuanzisha ALL_BRAIN TEAM (ili wazalendo wenye malengo ya maendeleo; ubunifu wowote; biashara nk waweze kupata msaada) to name it good JF ThinkTankers..
Right on the money!
Kwani wana JF wote tuna malengo sawa?
Na huo ndio moja ya ubaya wa siasa, nashangaa sana watu wanashabikia kwenda kwenye mrengo huo, tutaharibikwia huko jamani. Tufikiria jingine ambalo linaweza kufanikisha azma yetu, tusiingie kwenye sias, at least in the near future
Tupe mawazo ni kipi mbadala kinachoweza kuwakomboa Watanzania kwa ukamilifu na kivipi? SACCOS? NGO? What? Tuelimishe!
Mkuu X-Paster;
Sijakuelewa . . . . Unaweza kufafanua usemi wako?
Umemuelewa sana na alichosema ni kweli kabisaaaaaa, na mimi kwa kuongezea, vipi chadema imewakifu?