JF Kuwa Chama Tishio Cha Siasa?

Jamiiforums Kugeuzwa Chama?

  • Yawezekana

    Votes: 44 71.0%
  • Haiwezekani

    Votes: 19 30.6%

  • Total voters
    62
  • Poll closed .

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Apr 27, 2006
12,665
0
bob, COMRADE44, Field Marshall ES, Hey, Kamuzu, Mwita Maranya nk . . . .

Mnasemaje Wakuu?

1. Mkuu Allien, nimejaribu sana kukusoma na pia mawazo ya wengine wengi hapa, binafsi ninasema hivi vyama vya siasa Tanzania ni vingi mno, vinahitaji kupunguzwa kwa sababu in the end vinaleta mzigo mkubwa sana wa ruzuku kwetu wananchi walipa kodi.

- Mawazo yako ni mazuri sana, ila ningekushauri uyaingize kwenye chama kimojawapo nchini, kwa mfano TAA waligundua kua hawana uwezo wa kukaa meza moja kuongea uhuru na Mkoloni, kwa hiyo wakam-recruit Makaputula-(Mwalimu) na akaweza kufanikisha waliyokuwa hawawezi on their own, ninaamini ukihamishia uchungu wako katika moja ya vyama vyetu vya siasa na kuki-reform utakuwa umelisaidia sana taifa letu, na utapokelewa vizuri sana huko hasa mawazo yako!

2. Maana think kwamba kwenye internent kuna forums ngapi? Sasa forums zote zikianzisha vyama vya siasa itakuwaje mkuu wangu? Litakuwa ni taifa gani hili? Wacha JF tuendele kuwa taasisi ya wananchi na viongozi kuja kutoa kiu hapa, na kuchota elimu bure in the process na sisi wengine wenye uchungu na taifa tunakula elimu nzito hapa ambayo pole pole tunaihaimisha kwenye vyama vyetu na eventually, with time tutaleta mabadiliko kwa taifa tena makubwa sana lakini chanzo kitakua ni hapa kwenye shule ya bure yaani JF.

3. Mkuu sijui wengine ila mimi siku zote hua ninachota sana hapa JF na kuhamishia kunakotakiwa, na hasa kwa viongozi wetu Richimonduli ilianzia hapa mkuu, nusu ya info za ile scandal zilitokea hapa JF na tukaweza kuliamsha taifa, ni vyema tukaendelea hivyo hivyo,

- Lakini pia ninaheshimu sana mawazo yako kwani ni ya kimaendeleo sana, kuliko majibu mengi ambayo nimeona ukipewa yaani yameacha ishu na kukimbilia shortcut za personal, it is about time wananchi hapa wakajua kwamba hakuna ndugu wa mtu hapa JF hili ni jungle na tumo wote kutoka njia mbali mbali za maisha na sio lazima kwamba tupo hapa kwa malengo yanayofanana, au ni lazima yafanane, au lazima tuaminiane na kupendana na si kweli kwamba kwa sababu una msimamo flani basi wewe ndiye mwanamapinduzi sana na wengine sio, lets get real wakuu mimi ninaheshimu sana kila mwananchi aliyeko hapa JF na hasa anayechagia hoja, Tanzania ni yetu wote na ni muhimu sana katika kila mwisho wa siku tukaendelea kuheshimiana kwa kuwa na mawazo tofauti maana ndio hasa sababu ya kuwepo hapa JF yaani mawazo mbadala.

Mkuu Allien, respect kwa hoja yako nzito sana, lakini JF tuendelee kuwa taasisi ya kuelimisha taifa bure kama tulivyo sasa!
 
Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,281
1,195
Thinking that bunch of the anonymous most living abroad in their comfort zone will form a formidable political party in vast and flagile environment in Tanzania is beyond me.

Tubaki hivi hivi na endorsement yetu ya Chadema inatosha.....
 
Suki

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
373
195
I hope you have read all the options presented . . . .

By the way is that true that "Only anti-humanistic societies can prosper perfectly.. " ?

Ipo kazi . . .

Sina tatizo na option mbadala zilizotolewa na baadhi ya members except the chama cha siasa crap.But since that is out of talk,mbadiliko wa kichwa cha mada should be in order.

And yes,only anti-humanistic societies can prosper perfectly...got a problem with that,this is where we dare talk 'anything',bring it on.
 
Last edited:

Recta

JF-Expert Member
Dec 8, 2006
855
195
1. Mkuu Allien, nimejaribu sana kukusoma na pia mawazo ya wengine wengi hapa, binafsi ninasema hivi vyama vya siasa Tanzania ni vingi mno, vinahitaji kupunguzwa kwa sababu in the end vinaleta mzigo mkubwa sana wa ruzuku kwetu wananchi walipa kodi.

- Mawazo yako ni mazuri sana, ila ningekushauri uyaingize kwenye chama kimojawapo nchini, kwa mfano TAA waligundua kua hawana uwezo wa kukaa meza moja kuongea uhuru na Mkoloni, kwa hiyo wakam-recruit Makaputula-(Mwalimu) na akaweza kufanikisha waliyokuwa hawawezi on their own, ninaamini ukihamishia uchungu wako katika moja ya vyama vyetu vya siasa na kuki-reform utakuwa umelisaidia sana taifa letu, na utapokelewa vizuri sana huko hasa mawazo yako!

2. Maana think kwamba kwenye internent kuna forums ngapi? Sasa forums zote zikianzisha vyama vya siasa itakuwaje mkuu wangu? Litakuwa ni taifa gani hili? Wacha JF tuendele kuwa taasisi ya wananchi na viongozi kuja kutoa kiu hapa, na kuchota elimu bure in the process na sisi wengine wenye uchungu na taifa tunakula elimu nzito hapa ambayo pole pole tunaihaimisha kwenye vyama vyetu na eventually, with time tutaleta mabadiliko kwa taifa tena makubwa sana lakini chanzo kitakua ni hapa kwenye shule ya bure yaani JF.

3. Mkuu sijui wengine ila mimi siku zote hua ninachota sana hapa JF na kuhamishia kunakotakiwa, na hasa kwa viongozi wetu Richimonduli ilianzia hapa mkuu, nusu ya info za ile scandal zilitokea hapa JF na tukaweza kuliamsha taifa, ni vyema tukaendelea hivyo hivyo,

- Lakini pia ninaheshimu sana mawazo yako kwani ni ya kimaendeleo sana, kuliko majibu mengi ambayo nimeona ukipewa yaani yameacha ishu na kukimbilia shortcut za personal, it is about time wananchi hapa wakajua kwamba hakuna ndugu wa mtu hapa JF hili ni jungle na tumo wote kutoka njia mbali mbali za maisha na sio lazima kwamba tupo hapa kwa malengo yanayofanana, au ni lazima yafanane, au lazima tuaminiane na kupendana na si kweli kwamba kwa sababu una msimamo flani basi wewe ndiye mwanamapinduzi sana na wengine sio, lets get real wakuu mimi ninaheshimu sana kila mwananchi aliyeko hapa JF na hasa anayechagia hoja, Tanzania ni yetu wote na ni muhimu sana katika kila mwisho wa siku tukaendelea kuheshimiana kwa kuwa na mawazo tofauti maana ndio hasa sababu ya kuwepo hapa JF yaani mawazo mbadala.

Mkuu Allien, respect kwa hoja yako nzito sana, lakini JF tuendelee kuwa taasisi ya kuelimisha taifa bure kama tulivyo sasa!

Excellent presentation FMES. That is the truth, nothing but the truth.
 
Allien

JF-Expert Member
Jul 6, 2008
5,546
2,000
Mkuu Allien, respect kwa hoja yako nzito sana, lakini JF tuendelee kuwa taasisi ya kuelimisha taifa bure kama tulivyo sasa!

Mkuu; nimekusoma. Maoni yako hayako mbali na ya Mwanakijiji.

Just a brothely question . . . . Do you think it is enough for us to sit on JF and talk about issues even if there are people with potential of Transforming this country?

Mkuu, unajua matatizo ya vyama vilivyopo na kila siku yanaongelewa hapa JF. A am assuming kama JF kuna watu makini na wenye uwezo wa kuleta mabadiliko ya kweli. Fine JF may not become a political party, but for God's sake transforming this country needs a collective effort ya watu makini. Dont you want to be part of it other than writing on JF for issues you may be capable of doing practically?

Let me know . . .
 
Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,534
2,000
Tubaki hivi hivi na endorsement yetu ya Chadema inatosha.....

Kumbe tuko kuipa mkono CHADEMA? Nilikuwa sijui. Na hata kama ni Chadema, basi huyo Mbowe basi aje hapa na kama kweli atakubali kupokea watu wengi kutoka JF, basi lazima vitu kadhaa viingizwe humo ndani. Kama amekuwa anaibeba Chadema kwa nguvu basi lazima aridhike kuwa sasa atakuwa na upinzani.
Kama nilivyosema mwanzo, itabidi hata wale ambao hawapo Dar kama mimi hapa, tuweze shiriki mkutano ONLINE. Tutachangia ila kwa makubalioano tuwe na SAY yetu. Kwa mtindo huo basi, Chadema kiwe chama cha kwanza kuanza kutumia INTERNET katika maswala yake mengi na hii inwe NYINGEZA katika maneno ya Nyerere kuwa "Ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, Watu, Ardhi, Siasa safi, Uongozi bora na sisi tuseme TECHNOLOGY".
Chadema, njooni hapa, nendeni Tanzanet, nendeni kwa Michuzi nk ili muone jinsi Mtandao unavyovuta watu. Someni kutoka kwao na hapo anzisheni mtandao wenu. Ikibidi msaada wa kufungua kitu kama hiki basi nafikiri wapo watu wengi sana watakaokuwa tayari kuwachangua kwa mawazo, ufundi, fedha na vifaa kama mtaonyesha moyo wa kupokea hivyo vitu kutoka kwao na kuvitumia kwa faida ya Watanzania. Ila cha muhimu ni "nini kitatokea kwa viongozi wataokiuka masharti na kuiba au kutumia vibaya hivyo vitu?" Hapa ndipo patakapotofautisha chama hiki na CCM.
 
Safi sana Sikonge, you have said it all.

Tutapitia options zote kama zilivyoainishwa na wachangiaji. Tunakiacha kijiwe chetu cha JF kama kilivyo ili kiendelee kufanya kazi yake nzuri.

Wadau wenye uchungu sasa tunaanza ku-explore options zote . . .

Naifunga hii Thread sasa na tunafungua mpya ya Online Discussion na Vyama vyote. Tunaanza na Chadema . . . So, we move to a new thread . . .
 
Utamaduni

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
1,274
2,000
Jambo lenyewe mlilolizungumzia na kulitaka SI-HASA (siasa) yaani sio lenyewe, sio la kweli, sasa kwa nini tufikirie ukombozi chini ya Si-hasa?
 
Sura-ya-Kwanza

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
560
195
Wakuu . . . .

Hakuna lisilowezekana . . . . kama tu tukiamua

Mimi nashauri kwanza Kura ya Maoni ifanyike ili kujua kama wazo hili linakubalika.

Kisha likikubalika iundwe kamati . . . . .

Na hakuna kuonana kwanza . . . mambo yote online humu humu mpaka yawe yamekamilika . . . .

Viongozi wachaguliwewe humu humu, wauze sera zao na kuweka wazi records zao . . . .

Narudia, hakuna lisilowezekana kama tukiamua

Bofya kura ya maoni!
 
JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,891
2,000
wana jf sasa imefika wakati tumsimamishe member kutoka JF ili aweze kugombea urais kupitia chama chochote cha siasa, hii itasaidia kupunguza kero mbalimbali zinazoikabili nchi yetu
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,525
2,000
duuuh hii imetulia sana.naombeni michnago yenu nikachukue fomu kabisaaaaa
 
Ghwakukajha

JF-Expert Member
Apr 27, 2008
237
225
Kuliwahi kuja thread ya JF kuwa na chama cha siasa.Sijui lile wazo liliishia wapi,au wakulu wanajipanga bado.
 
Lighondi

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
581
195
Wanamageuzi wa karne ya ishirini na moja wameona kutumia njia hii ya mawasiliano sio tu kutawasogesha karibu na wananchi bali wanaweza Kuwaelimisha na hata kuwahamasisha Wananchi katika kujijumuisha katika majidiliano ambayo kwa namna moja au nyingine zinaleta changamoto sio tu kwa Wananchi na waandishi wa habari bali serikali au chama kilicho tukutu kwa wakati!:rolleyes:

Kwa mantiki hii... Sio siri kuona chombo kama cha, JF kinageuzwa kama chombo cha siasa, katika karne ya 22

Mfumo uliyojitokeza JF sio simulizi! Mijadala, Hoja, Maandiko, Udaku,[sijaona ngonjera hapa] Kwi !!! Wakubwa na vioja vyao, Kwa namna moja au nyingine ni mambo mbadao, lakini bado ni Simulizi ya miandiko ,mijadala na hoja za mambo mbadao ambayo inategemewa kuwa vigezo,nguzo na hata mielekeo ya wanaharakati wa JF katika muundo wa miongozo ya karne ya 22!
Siasa endelevu ya karne ya 22 ndio teke-linalo-fuata! nafikiri, hii ni; Sababu moja yapo, itakayoweza kuleta maadhimio ya ukumbi huu kama ni kweli- itaunda Chama!

Sitasita kuweka viongozi wenye kuunda chama hichi kwa nyanja zao kama itanibidi!

Kada-Mpinzani: Stop snuggling!,kalaga bao u-ubete uhulu
Mwanakijiji:Una hoja hapo!
Mtoto wa mkulima:Utaendelea kulima au? lete mdahalo!
YAWEZEKANA!

Kuwa chama cha siasa wala sio tatizo. tatizo ni hao wanachama wake (JF Members) kuwa na nia moja ya kujenga kibanda huku waitofautiana tu eneo la ujenzi na fito tunaotumia. Ukiangalia kwa harakaharaka utagundua kuwa tuliowengi aidha tunaamini kibanda tulichonacho kinatosha au kama tunahitaji kingine basi wa kujenga sio yeye.

Nadhani tuanze kufikilia 2015 tukiwa tumejipanga vizuri!

Msijali wakuu, ni maoni yangu tuuu!!!!!
 
Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,867
2,000
Hivi kuna chama ambacho hata kikiingia madarakani hakitaendekeza rushwa??Sipo sure lakini naamini kwamba chama chochote kile kikiingia madarakani hamna mabadiliko yoyote yatakayotokea.........Ni hayo tu!!
 
Junius

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
3,183
1,250
Tatizo memba wengine humu aidha ni wanafiki au wana usuhuba na mafisadi...hakutakuwa na chama hapa.
 
FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,805
2,000
Allien yaani profile yako inaonyesha wewe ni Alquaeda hahaha
nikirudi kwenye mada ni kweli tunatakiwa kufanya mabadiliko na mabadiliko yenyewe hayaji kirahisi kama mnavyodhani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom