proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,558
- 11,737
kwa nnMungu nifundishe kunyamaza.
Huyu mabakuli kumbe bado yupogo? Kuna watu hawafi aisee πHivi kwa watu tuliopo humu wanajua hatujui kutumia VPN πΉπΉ
Wengine saa hii tuko abroad π€£
Mimi nipo London nimekuja leo jioni hapa ntakaa hadi mwakani ndiyo ntarudi bongoKwa hiyo wote waliomo humu wapo nje? Kwa sababu tz hakuna mtandao.
Njoo Singapore, waifu material tule bataπ€£π€£Mimi nipo London nimekuja leo jioni hapa ntakaa hadi mwakani ndiyo ntarudi bongo
Ungekuwa hapa pakistani, ingekuwa powa sana kwa sababu pangewaka motooo...Mimi nipo London nimekuja leo jioni hapa ntakaa hadi mwakani ndiyo ntarudi bongo
Sasa huko si nchi nyingine jamani πNjoo Singapore, waifu material tule bataπ€£π€£
Ndiyo unachokiwazaπ πUngekuwa hapa pakistani, ingekuwa powa sana kwa sababu pangewaka motooo...
Fisi wewe π€£π€£... Kuna wakati ilipotezwa kabisa hata ukitumia VPN inakuletea ujumbe wa kuomba msamaha kwamba, japo seva zao zipo nje ya Tanzania inawabidi watii masharti sababu kuna leseni walipewa na mamlaka za TanzaniaHivi kwa watu tuliopo humu wanajua hatujui kutumia VPN πΉπΉ
Wengine saa hii tuko abroad π€£
Ngoja nikalewe kwanza, nitakutafuta baada ya masaa 12 kupita πNdiyo unachokiwazaπ π
Mimi tu ndo mlokole humu kumbeNgoja nikalewe kwanza, nitakutafuta baada ya masaa 12 kupita π
MI ni church boy je nipo kundi lako?Mimi tu ndo mlokole humu kumbe
Uchokozi huo πΉHuyu mabakuli kumbe bado yupogo? Kuna watu hawafi aisee π
πΊπΈ BabyLamomy wewe upo nnchi Gani? Mimi nipo Singapore π€£π€£π€£
Hamlali? Muda huu kwetu tunajiachia tu πΉπΉFisi wewe π€£π€£... Kuna wakati ilipotezwa kabisa hata ukitumia VPN inakuletea ujumbe wa kuomba msamaha kwamba, japo seva zao zipo nje ya Tanzania inawabidi watii masharti sababu kuna leseni walipewa na mamlaka za Tanzania
Hujakutana na kitu kama hicho?
Wacha we naona kagiza Giza ndo kanataka kuingia pande izo πππΊπΈ Baby
Kwa snupi πΉπΉ