:( JF inavyo wachanganya watu :(

hahahah lol
ntakwambia siku nyingine nliwaza nini lol
ulienda rehab ipi aisee maana na mi nataka kwenda huko
hahahah lol

Hahahaha lol! Sijapona sawa sawa maana huwa kaugonjwa kanarudirudi katika baadhi ya siku :):) hivyo subiri kwanza kama nikiona kaugonjwa kamepotea kabisa kabisa :):) Ndio nikupe hilo jina la hiyo Rehab Center, maana naogopa usije ukaliwa pesa zako halafu ukaanza kunilaumu, BAK umenipoanza nimepoteza pesa zangu chungu nzima ile Rehab yako imejaa wasanii watupu hahahahah lol!

NB: Hivi Quarter and Semi Finals za Rugby kule NZ zitakuwa lini? Nipe ratiba kama muda utaruhusu nataka niangalie.

Haya uwe na weekend njema
 
Kuhusu rugby ..

https://www.jamiiforums.com/sports/170935-rugby-world-cup-2011-live-16.html

info zote ziko hapo ..
kama una swali dondosha tu kwenye hiyo thread
ntakujibu .. Karibu kwenye huu mlumbano wa 2011.. :)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Shukrani AD, naona France wamewatoa England katika mechi ambayo wapenzi na mashabiki wengi wa rugby walitegemea UK washinde.
 
Shukrani AD, naona France wamewatoa England katika mechi ambayo wapenzi na mashabiki wengi wa rugby walitegemea UK washinde.

dahhhhh
Captain wa England alidondosha chozi ..
Nimefurahi France kushinda.. sababu wanaweza
kukutana na AB's kwenye final .. ..

Nway usikose game ya leo ..
Australia na South Africa..
Wengi tunaisubiri kwa hamu lol.. :)
 
Nimeangalia time ya mchezo kuanza ni poa tu hivyo nitaweza kuangalia, nilikuwa na wasiwasi labda inaweza kuwa usiku wa manane, hata semi finals (October 15th & 16th) na final match on October 23rd zote ziko katika wakati mzuri kabisa. Itakuwa poa sana kama South Africa watawaadhiri Australia.
 
bak na ad,poleni kwa ka-addiction kengine ka rugby. aso na hili ana lile,ila mjiwahi b4 hamjahitaji rehab ingine. hasa ad,manake ukianza kuitiwa duty, mwenzio atapata sababu ya kusaka small house. bak yeye atafanya ubabe tu. furahieni wknd
 
hahahahahah
King'ast mami bado namfundika BAK jinsi ya ku "tackle" kazi ngumu kweli lol

Nawe enjoy weekend yako my dear ..
duhhh naona wameondoa kidude cha thanx again..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimeangalia time ya mchezo kuanza ni poa tu hivyo nitaweza kuangalia, nilikuwa na wasiwasi labda inaweza kuwa usiku wa manane, hata semi finals (October 15th & 16th) na final match on October 23rd zote ziko katika wakati mzuri kabisa. Itakuwa poa sana kama South Africa watawaadhiri Australia.

Nimefurahi kusikia hivyo usisahau kuja kule kwenye ile thread ya RWC
hii https://www.jamiiforums.com/sports/17...1-live-16.html ili tulumbane vizuri ..

Hata mi natamani na naomba SA washinde ..
Na AB washinde leo .. halafu next week semiz
itakuwa kati ya hizo nchi mbili...Duhhhhh

Nazipenda zote lakini itabidi niende na AB's sababu waijua.. :)
 
QUOTE=afrodenzi;2617103]hahahah Pole dear
Mi skusemi wewe tuko wengi ..

kuna mtu anaitwa BAK anajua Rehab nzuri .....[/QUOTE]
Yaani itabidi nimtafute
Maana kama ni addiction ni balaa
Nimeamka bila hata kuswaki nishaingia JF
Hii ni balaa
Nitamtafuta anipe rehab ya nguvu niachane na hii kitu
 
QUOTE=afrodenzi;2617103]hahahah Pole dear
Mi skusemi wewe tuko wengi ..

kuna mtu anaitwa BAK anajua Rehab nzuri .....
Yaani itabidi nimtafute
Maana kama ni addiction ni balaa
Nimeamka bila hata kuswaki nishaingia JF
Hii ni balaa
Nitamtafuta anipe rehab ya nguvu niachane na hii kitu[/QUOTE]

Duhhhh itabidi nkunyime contact zake...
mi staki uache kimoja kimoja labda
upunguze kidoncho tu .. :)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaani itabidi nimtafute
Maana kama ni addiction ni balaa
Nimeamka bila hata kuswaki nishaingia JF
Hii ni balaa
Nitamtafuta anipe rehab ya nguvu niachane na hii kitu

Duhhhh itabidi nkunyime contact zake...
mi staki uache kimoja kimoja labda
upunguze kidoncho tu .. :)[/QUOTE]

Kuacha kabisa haiwezekani
Yaani unapunguza kidogo
Maana muda wote mtu unatembea huku unapost siredi
Ukikosa net tuu ni issue unaudhika kama umeenda hotelini ukaambiwa chakula kimeisha huku ukiwa na njaa mbaya
 
hahahahahah
King'ast mami bado namfundika BAK jinsi ya ku "tackle" kazi ngumu kweli lol

Nawe enjoy weekend yako my dear ..
duhhh naona wameondoa kidude cha thanx again..

Hahahahaha lol! Huu mchezo banaaa mie bado sana, lakini kama ukiniambia Football basi hapo huoni ndani AD maana huko ndiko nimebobea sana. Najaribu kuzifahamu sheria za huu mchezo ili niufahamu kwa karibu. Ile American Football nilikuwa sifahamu sheria zake kabisa lakini sasa hivi naufahamu vizuri na pia naweza kujiita shabiki, lakini bado hauoni ndani kwa real football.
 
Yaani itabidi nimtafute
Maana kama ni addiction ni balaa
Nimeamka bila hata kuswaki nishaingia JF
Hii ni balaa
Nitamtafuta anipe rehab ya nguvu niachane na hii kitu

Duhhhh itabidi nkunyime contact zake...
mi staki uache kimoja kimoja labda
upunguze kidoncho tu .. :)[/QUOTE]

Hahahahaha lol! AD ni aje? Yaani baada ya kuamka tu kituo cha kwanza ni JF :):):) ili kujua nini kinaendelea lol! Kweli wewe unahitaji Rehab ya nguvu sana kabla hujaharibikiwa zaidi :):)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom