:( JF inavyo wachanganya watu :(

:( JF inavyo wachanganya watu :(

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,153
Reaction score
9,270


pole wote mlio kuwa addicted na JF
..
 

Attachments

  • duty_calls.png
    duty_calls.png
    8.8 KB · Views: 341
mie kila napokaaaa najisahau najikuta naperuzii humu..........ugonjwa mbaya sana
 
Hahahaha!!! Someone is wrong on the internet definitely must be Invisible lol!!!
 
Nahisi wanisema mimi vileee!!! Lol.... yaani ROFL....

hahahah lol
Pole my dear ..
hauko mwenyewe..

Nlisoma hiyo carton nikajiona mwenyewe lol
(Ila hakuna aniitae)..
 
Sayuuuu!!!

Usitoe siri hadharani Maza hajakupatia mpaka sasa??

Nakuona unaandaa Birthday (Ukamsahau Dada yako)

Maza hajasema kitu kabisa yaani
sasa niambie basi kidoncho ilikuwaje..
( chumbani ..🙂

Bday party muhimu sana ila karibu ntakimbia nieende kushughulikia mambo..🙂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom