Mimi ndio dawa
hahahah lol
Pole my dear ..
hauko mwenyewe..
Nlisoma hiyo carton nikajiona mwenyewe lol
(Ila hakuna aniitae)..
najitoa jumla lol..
Halafu umeona wametoa thanx zetu zote za zamani ....lol
Ha ha ha unajua nilikuwa sijaona mie naona hawajatutendea haki kabisa tuanze upya??
Dah haya ngoja nianze kuzigonga nilikuwa sijaziona sante sana
I have restricted myself to "authrized JF hours". Nilikua naelekea kubaya. Hours zenyewe ni JF by night (of course!)
Mi inaniuma sana hahahaha lol
Hata la kufanya linakosekana inaniuma sana ...🙁
Alahhh mi nshaanza kugawa tu .. lol
Naona unatutangazia biashara yako ya kupenda ndizi nyamaMasham sham masham sham...ndizi nyama!
NN je wewe una addiction ya JF??
Dah kweli inaumaaaaa aisee toka elfu tano mpaka ziro kweli wametuweza.
Ngoja nizigonge gonge angalau
Mambo ya kudownload jamaa nilisikia analalamika demu akipiga gori anawasha laptop anaanza kuchat face book ikisimama anamwita anachapa demu anarudi tena kwenye face book duhh mademu wasomi sio kabisa