Mkuu hii hata mm watu huwa wananishangaa kwenye vijiwe vyetu vya bia nakuwa kama nabii..Imenisabisha niwe wa kwanza kujua na watu wanihisi spy
Mkuu nadhani hii inasababishwa na wengi wao kuwa humu ndani na wanakuwa hawaridhishwi na muenendo wa UWTimenisaidia kujua siri za Usalama wa Taifa (UWT) ambazo sio siri tena.
Mkuu hii kama ni kweli Mshukuru Mungu na ishukuru JF halafu mkuu ichangie kidogo hata ka hamsini tu...JF imenisaidia kupata ushauri wa kisheria ktk Jukwaa la Sheria. Baba mzazi leo hii angekuwa lupango kama si kudra za Mungu kupitia JF!
JF ni ya wote...baba,mama watoto na wengineo wengi.....kila siku baada ya mlo wa usiku familia nzima tunajikusanya tunasoma post za kuchekesha hapa jf,si baba si mama Burudani mtindo 1
Mkuu pole sana,najua ni kwa sababu ya siasa maana hata signature yako inaonyesha..by the way mkuu we ni mshabiki wa chama gani?Imenisababishia vidonda vya tumbo
Kwa hili inabidi ufurahi mkuu,kupata mke si kazi rahisi,si kanisani,msikitini au mitaani...Nimepata mke humu jf..hshaaa
hahaha mkuu ina maana unamuongelea REJ,Ri na wengineo?Kuna watu wamepata ajira za nape humu ... kila post wanalipwa buku mbili ... wahusika wanajulikana
Hujapata hata hawara humu? i doubt!mmmh, ngoja nitafakari kwanza.
How Elezea....imenisaidia saana
Mkuu ni kweli hata mm now ni addicted....na hili la Saccos natamani na mm nijiunge...Nimekuwa raibu (addicted) na JF kiasi kwamba kila siku lazima niipitie kupata habari muhimu kabla azijamwagwa kwenye vyombo vingine vya habari hapa tz! Pia nimeunganishwa na JF Saccos.
Hujapata hata hawara humu? i doubt!
Hili nalo ni swali???Hujapata hata hawara humu? i doubt!
Kazi ya mkono ni kushikalol, sidhani kama atajibu hilo.
Unakuta m2 ana hawara na mume na wote wapo jf ila hawajuani.
Jf noma.