JF Imekufanyia nini katika maisha Yako?

JF Imekufanyia nini katika maisha Yako?

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
3,505
Reaction score
6,440
Ukiangalia kwa umakini utagundua JF in one way or another ina mchango fulani katika maisha yako ya kila siku,
Hebu tuorodheshe au tuchangie hapa chochote kile ambacho JF imekifanya katika maisha yako,jirani yako,rafiki yako,au mtu yeyote unayemfahamu,
 
Kwa mabreaking news yake imenifanya kuitwa nabii mtaani kwetu. Maana wananisikia kila mara nikiongelea matukio ambayo bado kuripotiwa na chombo chochote kile.
.
 
mimi nikiandika hapa.....habari itakuwa na ukubwa wa 3GB....nitaelemea server ya Maxence......
 
Ninajua vitu vingi vinavyoendelea katika nchi hii jambo ambalo nilikuwa gizani zamani.Breaking news karibu zote huwa nazipata hapa.Na cha msingi nimepata marafiki hapa ni jambo la kumshukuru Mungu.
 
Kuna watu wamepata ajira za nape humu ... kila post wanalipwa buku mbili ... wahusika wanajulikana
 
Ukiangalia kwa umakini utagundua JF in one way or another ina mchango fulani katika maisha yako ya kila siku,
Hebu tuorodheshe au tuchangie hapa chochote kile ambacho JF imekifanya katika maisha yako,jirani yako,rafiki yako,au mtu yeyote unayemfahamu,

Anza wewe kutuambia!
 
Nimekuwa raibu (addicted) na JF kiasi kwamba kila siku lazima niipitie kupata habari muhimu kabla azijamwagwa kwenye vyombo vingine vya habari hapa tz! Pia nimeunganishwa na JF Saccos.
 
Back
Top Bottom