JF Imekufanyia nini katika maisha Yako?

JF ilinipatia imenipa gadget za ukweli kwanza ilinipatia BB halafu kupitia hapa nikanunua iphone. Kitaarifa, imenifanya taarifa zote ziwe kwenye finger tips zangu
naamini hata wengine nao wamefaidika mm pia nimenunua hard disc na Iphone
 
ni mtandao kama mitandao mingine ya habari na kwa upande wangu jf ipo juu kidogo kwa kumpa kila member haki ya kutuma post anayotaka na kuchangiwa na washiriki waliobakia,uwazi,uhuru wa kuchangia,japokuwa kuna member wanaovuka mipaka kimtindo,ila kwa ujumla jf ni mtandao ambao hainipiti siku(kama sina dharura)bila ya kuufungua!!
Ni kweli mkuu...kweli kuna baadhi ya member wanavuka mipaka Mods huwa wana kazi saana kumonitor
 
jf imenifanya watu waniheshimu, kunipenda na sometym kuniogopa! coz najua kiiila k2 no matter z siasa, mambo ya technolojia na n.k
 
Haaa mkuu inaonekana inakupa na stress sana...by the way misukule wapo kila mahali...

Sana tena kuona watu wenye fikra za kutegemea wengine kuwa wanaweza kuwabadilishia maisha yao ya kila siku na wakaamini kabisa katika hilo ni usukule unaotia stress. Sijaona mtu anaeamini Tanzania kuwa yeye anaweza kufanya kitu cha kubadilisha maisha yake na ya wengine bila kutegemea mwingine.
 
zamani nilikuwa nikiongea kwenye vikao jamaa walikuwa wananiambia naongea pumba!Siku izi jamaa wananisifia kwamba naongea mapoints ya kufa mtu na wameanza kunipa nafasi mbalimbali za uongozi tofauti na zamani.JF LIVE LONG!
 
Good safi sana mkuu lakini huoni huu ni muda wako wa ww kurudisha fadhila? hata kidogo...
 
jf imenifanya watu waniheshimu, kunipenda na sometym kuniogopa! coz najua kiiila k2 no matter z siasa, mambo ya technolojia na n.k
Safi mkuu....hiyo iko poa sana ila mkuu na ww ni muda wa kuichangia hata kidogo mkuu
 
Ukiangalia kwa umakini utagundua JF in one way or another ina mchango fulani katika maisha yako ya kila siku,
Hebu tuorodheshe au tuchangie hapa chochote kile ambacho JF imekifanya katika maisha yako,jirani yako,rafiki yako,au mtu yeyote unayemfahamu,
Ebwana Mi Naanza Shukrani za Dhati toka Uwongozi Mzima wa JF na Mkali aliebuni wazo hili, Daima nitamkumbuka kuwa Shujaa no_ 1 nakujifunia Mchango wake kwangu na kwa Taifa zima juu ya Uhabarishaji,Uelimishaji na Connection mbali mbali za Ajira kwetu Vijana, I wish one day Kumuuona Founder wa hili wazo, JF imenisaidie mengi kwa Kifupi Jf kwangu no_ 3 baada ya Mungu Muweza(Allah) na Mama yangu, JF kwa mara ya kwa Msaada wake, Muongozo wake na Mawazo ktk Maisha yangu, Pamoja Daima na nitaipenda Jf.
 
Baada ya hayo mafanikio mnayoyataja , tujiulize pia tumeifanyia nini JF?
Tumeipromote vya kutosha kwa Wadau na Watu mbali mbali, Wazo na Ushauri uwakie Uwongozi wa JF, Sio mbaya Wanachama wote JF tuliopo sasa hv ukawekwa utaratibu wa kuichangia tsh 200 kwa mwezi ili endelee kuboleshwa na kudumu daima, Ni ndogo ila nyingi kwa Wanachama wote tuliomo Jf.
 
Utekelezaji sasa!
 
Imenisaidia sana kuwajuwa wanafiki wa siasa na wazandiki, pia imenisaidia kuwajua vizuri Chadema Great Thinkers na Chadema-Kata.
 
Back
Top Bottom