Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,568
- 17,982
Imenisaidia sana kuwajuwa wanafiki wa siasa na wazandiki, pia imenisaidia kuwajua vizuri Chadema Great Thinkers na Chadema-Kata.
Ha ha ha ha@Ritz bwana kama kawaida yako!
Imenisaidia sana kuwajuwa wanafiki wa siasa na wazandiki, pia imenisaidia kuwajua vizuri Chadema Great Thinkers na Chadema-Kata.
Imenisaidia sana kuwajuwa wanafiki wa siasa na wazandiki, pia imenisaidia kuwajua vizuri Chadema Great Thinkers na Chadema-Kata.
Inifanya kuipenda chadema na kuichukia ccm
ok aisee..good mtoto ana miaka mingapi now maana ilikua 2012..imenifanyia makubwa kipindi nina ujauzio ilinipa company maana baba watoto mimba ilimchukia
ilinifanya nipunguze kuzurura kwenye vigrosary vya vichochoroni huko mtaani kwetu
imenifanya nijue mambo mengi yanavyoenda hapa njini
nimeichukia ssm
pia imenijuza mafisadi papa
viva jf
Hujajibu swali:umeulizwa imekusaidiaje?Kuna watu wamepata ajira za nape humu ... kila post wanalipwa buku mbili ... wahusika wanajulikana
Umeshatoka huko jela?Ushauri nlioupata JF umenipeleka jela wiki mbili baada ya kumcharanga uncle aliyetongoza wife wangu!
Wito chambua ushauri unaopewa hapa JF coz upo mzuri na wakishetani, akili kumkichwa usikurupuke lol!
TO BE HONEST JF IS EVERYTHING WAKUU