Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
teh tehUnaona mistari ya Asprin
teh tehUnaona mistari ya Asprin
mm siwezi DabyNisaidie kumchana basii hah
Htari sana hii kituDaby mzee wa chit chat, na jukwaa la wachumba
Unafanya harakati, kipi leo kimekukumba
Anga zako mademu sipati, utasikia oh nina mchumba
Pm Miss chagga hanifuati, eti kisa sijapata mavumba
Kwa mapenzi nakonda, Niffah amesha wahiwa
Au nimfuate Mahondaw, ila kuna mtu anaefagiliwa
Miss natafuta anaponda, raha na haijafunguliwa
Ila nikimcheki ataniponda, maana hapendi kusalitiwa
Mtu mzima bado natweta, je Valentina atanipa habari
Mvumbo nampenda Preta, ila anapenda sana magari
Mahips ya mtoto Lisa rina, kama nina nusu kaputi
Daby MMU kule una jina, nivutie japo mtoto Ukhuty
swahiba samahani mkuu leo naomba nikuulize kitu kama nitakukwaza unisamehe tuBora tujipunguzie stress hapa
we chana tu kuna zawadi ujueHii haipelekei kupigwa ban si ndiyo wakuu?
Mi naona mnanichokoza tu... nikiachia mistari hapa ntawaaibisha tu...
Bora niendelee kuwastahi...


hahahhhAsprin huna ishu huu mwaka wa mia/
Kila siku unaitwa babu unaishia kuangalia/
Mkwara mkubwa hebu kaa kushoto tulia/
Mkali wa hz kaz nda yaJF nakipakazaFlow zishachaji;
kichwa na midadi;
ndani ya jf;
hizi voko zinakiki;
mistari ina vat;
haijakwepa kodi;
penye maslahi;
ndo ninapopiga hodi;
so usije kichwa kichwa;
hii mistari ina makwenzi;
wanasema niko loko;
ila nasound kinyamwezi;
ma emcee akili ndogo;
body lemutuz;
so ukiniona mi nachana;
its better ukasizi; yoooooh
mkali wenu.Mtoa zawadi Daby mpaka sasa hivi hajasema zawadi ni nini na washiriki tumebaki wangapi.we chana tu kuna zawadi ujue
mliobaki wawili tu ww na b5-click na zawadi zipoMtoa zawadi Daby mpaka sasa hivi hajasema zawadi ni nini na washiriki tumebaki wangapi.
Kumbe kwenye msafara wa mamba ni kweli hata kenge wapo!!!🙂🙂🙂.......Tokea lini wewe ukaipenda au kuijua hiphop hadi unacomment wa kwanza hapa???........unacomment tu kisa ni uzi wa Daby!!.......Mungu anakuona!!🙂🙂🙂Asant
Castr nilikuwa nikipanga battle raia wanapotea sijui walikuwa wanaenda kuandika kwanza. Nwei kama B click yupo free aje mpige battle shunie achague mada...hahaMtoa zawadi Daby mpaka sasa hivi hajasema zawadi ni nini na washiriki tumebaki wangapi.
Sahz tumekuja tulio active we panga batle watu tuflowCastr nilikuwa nikipanga battle raia wanapotea sijui walikuwa wanaenda kuandika kwanza. Nwei kama B click yupo free aje mpige battle shunie achague mada...haha
Nakusikiliza Shostitoswahiba samahani mkuu leo naomba nikuulize kitu kama nitakukwaza unisamehe tu
Ngoja nikafute coment yenyeweKumbe kwenye msafara wa mamba ni kweli hata kenge wapo!!!🙂🙂🙂.......Tokea lini wewe ukaipenda au kuijua hiphop hadi unacomment wa kwanza hapa???........unacomment tu kisa ni uzi wa Daby!!.......Mungu anakuona!!🙂🙂🙂