Sihitaji mada kuchana.. Nahitaji beat kuwabana.. Wapuuzi kwenye Uzi mmejazana.. Niite shemeji dadaako ananiita bonge la bwana... Aaanha twendeeee
sina mpinzani.. kwenye fani ya kughani.. napata mizuka hasa nikinyonga mjani.. nafoka kishenz wala sio utani.. Yeeeahhh one two
Twende tena.. Yeeeah,
MMU.. Wanajadili Mapenzi tu.. hakuna wasaidizi wote ni wakuu.. swagga za majuu..
Asprin babu
miss chagga mjukuu.. unabisha!? Basi sema suuuuuu....
Daby nipe mpinzani.. nimuonyeshe mautundu ya zamani.. mi ni old skul wakuja usilete utani..
Daaah... Haya mambo yanaenda na midundo wanangu