sijui Tigo walijua kuwa nitaua ma mc fake ndo maaana net yao inazinguNaanza namna hii
Fake wote piga chini /
Kurap sio tu fasihii
Kichwani pia uwe makini/
Marapa nawapaka manii
Jukwaani nawavisha bikin/
Unayejicompare na me
Mwenzako na ID tisini/
Wananiita Daby
Master wa huu mchezo/
I'm kasie's hubby
Na kwangu amekidhi vigezo/
Kamwe Sinyei kambi
Kisa umashuhuri wa Dezo/
Hata nikinyaka chambii
Ntawaheshimu kama mwanzo/
Mazee mjitokeze mliopo free kwasasa basi mpige battle game linoge...
sijui Tigo walijua kuwa nitaua ma mc fake ndo maaana net yao inazinguNaanza namna hii
Fake wote piga chini /
Kurap sio tu fasihii
Kichwani pia uwe makini/
Marapa nawapaka manii
Jukwaani nawavisha bikin/
Unayejicompare na me
Mwenzako na ID tisini/
Wananiita Daby
Master wa huu mchezo/
I'm kasie's hubby
Na kwangu amekidhi vigezo/
Kamwe Sinyei kambi
Kisa umashuhuri wa Dezo/
Hata nikinyaka chambii
Ntawaheshimu kama mwanzo/
Mazee mjitokeze mliopo free kwasasa basi mpige battle game linoge...
sijui Tigo walijua kuwa nitaua ma mc fake ndo maaana net yao inazingu

. Skia hiiNimetok hustlin. Skia hii
Yooh
Naficha uso ka frasha
Nilivyo na doo nafanya shopping engarasha /
Kwq habari nawapasha
Mshakuwa mawet kama mvua ya rasharasha/
Kwa jiwe moja naua pacha
Na impress mpaka west muulize hata kadarshan/
Nawastusha la hasha
Mamc Nawaanika kama bidhaa kwenye tamasha /
Tehteh
aiseeeYooooo yoooooo,piga keleleeeeeeee
Tusiandikie mate,bora tule mkate,
Tuamue tumkamate,anaitwa Bashite,
Yoooo DJ namba 2


Mbona ww haupo au unajua utawafunikaOk list ya kwanza hii hapa.
1. Keyon
2. merengo90
3. Rich Ze Best
4. NAKEMBETWA
5. life coach
6. oscarsolomon
7. markj
8. sizonjemadawa
9. slimdaddy
10. mwanazuoni mgeni
Session one.
Keyon vs Nakembetwa.
Session/round ya kwanza
Aanze Keyon vs Nakembetwa
Mada iwe MMU. Mtapiga round mbili mbili then watu wanapiga kura halafu mshindi anapatikana anasubiri mshindi wa group lingine.
Mwenye la kusema kabla hamjaanza.
Kiswahili ni kizuri zaidi ili kila mtu awe na uhuru wa kuchana.
Mkuu niweke kwenye list kabisa, lazima niwafunike 😀 😀 😀
Mkuu niweke kwenye list kabisa, lazima niwafunike 😀 😀 😀
mpinzani wangu unamistari soft kama pepocon huwezi pambana na mm mistari yangu inatumika kama kondom. Skia hii
Yooh
Naficha uso ka frasha
Nilivyo na doo nafanya shopping engarasha /
Kwq habari nawapasha
Mshakuwa mawet kama mvua ya rasharasha/
Kwa jiwe moja naua pacha
Na impress mpaka west muulize hata kadarshan/
Nawastusha la hasha
Mamc Nawaanika kama bidhaa kwenye tamasha /
Tehteh
mrembo tenaghafla naingia kwa thread naona free style battle kutazama aliyepost ni daby kiukwel kwangu ni mrembo
nakutomasa chuchu unapagawa mule mule napotaka mi ndyo depo masta toka jkt mgambo
baada ya kukupa mikunjo unanogewa na kuniambia lusematic i love nami nakula bonye mpita njia kimtindo
sikia sasa nitakununulia gift ya sken jeans ili upendeze twende beach ili kitaani usipate mbovu skendo
usihofu kuhusu vocha mrembo daby night nitakusambazia nyaya ili upete kwenye bando
sifa yako maji ya kunde black kwa mbali kamwe huwezi zinguliwa makuzi nitawapiga nyudo.....
>>kidogo nikwamie hapo