Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,647
- 75,837
Mwaka juzi kulikuwa na battle ya Mitindo huru humu jukwaani ila baadae sijui yaliishia wapi. Huu uzi ni mahususi kwa mashindano. Na kwa kila mwaka mshindi atakuwa ana be updated hapa.
2015 nilikuwepo mimi Daby magnifico Kaka Jambazi Benny Kaboom gwijimimi chlorine gas na wengineo nimewasahau. Taratibu za kushiriki comment jitaje utashiriki then tutapanga round za battle hadi mshindi apatikane. Mshindi anapatikana kwa kura za watu watakaokuwa wanafuatilia. Mimi nitakuwa mwongozaji. Tunataka Mitindo huru sio mistari iliyokwisha kaririwa.
Demo:
natoa kali ya mwaka
Keti kitako uniskie/
MMU leo inatia shaka
Dent wamejaa kawasikie/
Wengi stori zinatia shaka
Still wanashauriwa nakina Shunie/
Nobody could do it
The way I get it up/
I ain't stop til
HR666 na wenzake wasup/.
Keyon Mkwawe dumesuruali kanali mstaafu oscarsolomon b5-click dutty pk life coach CHE Raptino
Karibuni au sio.. tudumishe utamaduni sio. Kama unashiriki sema. Mashabiki karibuni pia.