JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

Nina flow nyingi, i spend kwenye wall zenu

Kama misanya bingi, nasanya nikiwekewa menu

Napandisha Graph za Flow, Ziwe Juu Kama Kalii

Job zenu ni za Blow, hamuezi fananisha na Hii

Mnajifanua mnaweza CHANA, alafu mna CHANA KIMANZI

Nawapa tWENTY PERCENT maana, sie ni Nako HAWATUWEZI

Ukitaka Mistari, Mtwengwa Nta-Kupa

Ukitaka Viuno Vikali, Me Sio Fally-Pupa

[HASHTAG]#Master[/HASHTAG]
 
nawavunja na kuwapoteza, kama kariakoo round about

Sema mtengwa naweza, so where my crown at
Kuifikia crown bado labda kama unamaanisha balimi,

Mistari ipo gado kama Zay B wa 90,

Hapa mambo bado kama Chege na Jay d
 
Ma Mcee mmeshikwa na HOMA..
Hakuna mnachoongea kwenye kipaza MNAKOROMA..
Mnatema povu kama mmelamba FOMA..

Hivi wapinzani mpo kweli!?
Unachana kwa kujificha unakimbilia mitini,

Endelea hivyo hivyo huku hatutaki wavaa vipini,

Ubishoo umeuzidsha mpaka mzani haupimi,

Jifiche lakin leo usiku utalala na kidume mimi
 
Ma Mcee mmeshikwa na HOMA..
Hakuna mnachoongea kwenye kipaza MNAKOROMA..
Mnatema povu kama mmelamba FOMA..

Hivi wapinzani mpo kweli!?
B5 na ku click, kama cursor kwenye PC

Maana unataka kick, na huna plan C

Mtengwa bingwa wa ku ghani, sema msela vunga

Sina ushindi wa mezani, kama points za kagera sugar
 
Mc unabweka kabwela na akili huna,

Nakukamata unaunga tela vesi zinawashwa nazikuna,

Mashut yako kwenye besela na swaga mbov za kisukuma,

Nifate kama bendera humu ndani kama mimi hakuna,
 
Mc unabweka kabwela na akili huna,

Nakukamata unaunga tela vesi zinawashwa nazikuna,

Mashut yako kwenye besela na swaga mbov za kisukuma,

Nifate kama bendera humu ndani kama mimi hakuna,
Mc Poyoyo.. Meno huna we kibogoyo.. Nipe ndogo acha uchoyo.. Au hujui kutoa ni moyo!?
 
Mc Poyoyo.. Meno huna we kibogoyo.. Nipe ndogo acha uchoyo.. Au hujui kutoa ni moyo!?
Hii ni kazi nzito mzazi nakuonea huruma,

Umetaka ndogo nisubiri nakupa kubwa,

Flow za kipopo naona unaleta ukuda,

Hii siyo kazi ndogo hiki ni kipaji buda,
 
Unakuja kwa njia ya kutaka kiki/ hiki kipaji hakiambiliki/ MMU iko moyoni akilini haielezeki/ jukwaa langu pendwa mdomoni halitoki/ sitaki like wala makofi/ nitasimama kuwaangusha mafisi/ wanaokuka kwa njia ya manesi/ na nishawastukia sasa nakuvalisha nepi
Acha kubweka mtoto wa juzi
Tulia tukupe somo wajuzi
Kaa mbali nasi unanuka ushuzi
Kidume nakupa tag huwezi
Anga hizi kugusa ni kazi
 
Hii ni kazi nzito mzazi nakuonea huruma,

Umetaka ndogo nisubiri nakupa kubwa,

Flow za kipopo naona unaleta ukuda,

Hii siyo kazi ndogo hiki ni kipaji buda,
Buda sipotezi muda.. Nakula chozi la simba mixer mashada..

Itikad za Korea kaskazini.. Nina hamu na ww Leo kamatia chini..

Nipe Mimi nipe Mimi.. Muda ndo huu acha umimi..

Aiseee, ngoja niingie kitengo, Mida ya night tutakutana hapa
 
Oya wazee mbona hamjanipa mwaliko
Nina mitindo huru hamniwezi kwa midondoko
Bongo hadi kaburu,wanakubali hii miondoko
Nafanya kufuru hamniwezi nyie ma ch..

Wanapagawa navyofanya mautundu
Huniwezi we unagundu
Jaribu kufata nyuki uchezee manundu

Mi ndo fanani nsie na hadhira
Nyati mwenye hasira
Ukishindana. Na lazima utapoteza dira

Am a ventriloqust tryna twist tounges
In the booth Spitin them sick rhymes
Niggas be watchin like two times
How i be flippin linguistics like hot dimes

Am the realest MF u ever seen
Been to places u never been
Spillin the sauce like am in New orleans
 
Unahubiri flow shitty Harmorapa kasingiziwa,

Umezunguka unanuka usnitch Steve kasingiziwa,

Una arosto na hizi lyrics Chid Benz kasingiziwa,

In a beast mode Babuu akakimbia
 
Oya wazee mbona hamjanipa mwaliko
Nina mitindo huru hamniwezi kwa midondoko
Bongo hadi kaburu,wanakubali hii miondoko
Nafanya kufuru hamniwezi nyie ma ch..

Wanapagawa navyofanya mautundu
Huniwezi we unagundu
Jaribu kufata nyuki uchezee manundu

Mi ndo fanani nsie na hadhira
Nyati mwenye hasira
Ukishindana. Na lazima utapoteza dira

Am a ventriloqust tryna twist tounges
In the booth Spitin them sick rhymes
Niggas be watchin like two times
How i be flippin linguistics like hot dimes

Am the realest MF u ever seen
Been to places u never been
Spillin the sauce like am in New orleans
Gusa sana vichwa humu ndani vikakimbia,

Vampire sishibi damu nmekuona nakukimbilia,

Panda kwenye ulingo tema rhymes nakuachia tangulia,

Show ukiishindwa mkuu chomoa kimbia,
 
Ha ha ha ha!
Msiwe so fast mkajiona mnaweza/
nawacheki tu kitambo/ mnavoyahusudu makombo/
tena kwa maneno ya shombo/
the don ndani ya chimbo/
niguse nikutindue na wangu mtaimbo/
we askari mgambo/
kivipi unitishe mm tembo?,
LARA1 USILETE UREMBO/
UNAPOISHI KWA MAMA WA KAMBO/
 
Flow nusu nusu na mistari iliyoishia njiani,

Sogea upigwe busu acha kutema mashudu karibu ingia vitani,

Hizi swaga za madufu kikombe cha utukufu kinakusubiri kipo ndani,
 
Flow nusu nusu na mistari iliyoishia njiani,

Sogea upigwe busu acha kutema mashudu karibu ingia vitani,

Hizi swaga za madufu kikombe cha utukufu kinakusubiri kipo ndani,
Umekuja kushoboka/
Sasa ukuta utaushika/
Kwanza nikuulize umesuka?
Na si ndo ww kwapa kunuka?
Fasta nitaibuka/
Nikupe zile za Ulimboka/
Hivi kwanza unakumbuka?
Vile kucha zilivyong'oka?
Fasta nitakuteka/
Kwa ujio wa kama paka/
 
Wakuu sijui kwanini tumeshindwa kunogesha huu mchezo. Kila mtu akichana kivyake sio mzuka. Ishu wajitokeze watu wa battle twende kwa mtoano au mchujo mpaka mshindi apatikane. Shida mara mtu kapotea hewani mara karudi. Please kama unataka battle kwasasa na upo free sema ijulikane.
chagua watu kwa upande wangu mim npo sawa
 
Nilikua juu ya anga najipanga/ nikimake crew ya stanza/sa nina shuka ili nifanye wonder/score mabanda over fake wanaorap huku wakitafuna karanga/ natuna mbele ya panga nikipiga round zaidi ya pangaboi/ rap hadi juu ya map ya Arap Moi/ mtindo wa hip hop sio trap bway/i dont stop bway nikiharibu lete corps bway/.....
 
Back
Top Bottom