JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

Hahahhaha kijana pole/ unajifanya mlokole/MMU imekushinda nenda kalale/ kule hatusimulianagi misukule/ ni mapenzi tu kwa kwenda mbele/ MMU siyo ya watoto wale wa babu tale/ kule tumejaa watu wazima tena tele
Dudu ni dudu liwe zuri au baya,
Naona unataka kupandwa kama mlima wa himalaya,
Katafute saiz yako kwangu umekanyaga yanya,
Nakuua huku nacheka kama mzee mzima jakaya,
Sogea sogea tu kama ray c,
Mana naona unataka nikufanye matusi,
Njoo geto kidume nikutinde nyusi,
Nikupapase mwili alafu nkupige pasi,
Umeingia meli ya wagiriki,
Kilichobaki ni kukufanya mshikaki,
Utaponzwa na kiki,
Mimi siingiliki,
Nakuvua nguo so kama muungwana chutama,
Nakuvua vyeo kama nape mbunge wa mtama.
 
Nilianza zamani long kama Thursday kwenye TBT

Sio wewe new comer me old kama TVT

Nasambaza injili kama kanisa la E.A.G.T

Hata tuki battle wawili me ndo B.E.S.T
Watch what to say hapa tupo wanaume/

Funga mdomo nimekuja nyamaume/

Nameza kila kitu hata kama una mapunye/

Nikikuonea huruma nitakuja na Dume/
 
Yoo yoo

Veya nifya unene nigenda wuli pakilo unisindihe lio niupe mng'asi yoo yoo
We mshamba wa Chato hizi pande hazikufai unazingua/

Kilugha chako muandikie Bashite huyo boya atakijua/

Tafsri huo uboya uone ntavyokuzodoa/ wham up na kukuchoropoa/

Huko ulipojificha siyo salama hua napita kufumua/ marinda
 
Inajulikana, mtengwa real ni mmoja

Kwa hiyo mwana, kaa mbali we wakuja

Mnaiga hadi Id, Mnacopy kama surname

Wivu na mna hii,Mungu akurehemu

Nikikudiss sitafanya vyema

Nakuacha uSEPE TU, we madame WEMA
Real Rasta mfuasi wa genge'
Naigeuza JF geto kama kijenge,
Huu msafara wa marapa haufuatwi na makenge...
 
Dudu ni dudu liwe zuri au baya,
Naona unataka kupandwa kama mlima wa himalaya,
Katafute saiz yako kwangu umekanyaga yanya,
Nakuua huku nacheka kama mzee mzima jakaya,
Sogea sogea tu kama ray c,
Mana naona unataka nikufanye matusi,
Njoo geto kidume nikutinde nyusi,
Nikupapase mwili alafu nkupige pasi,
Umeingia meli ya wagiriki,
Kilichobaki ni kukufanya mshikaki,
Utaponzwa na kiki,
Mimi siingiliki,
Nakuvua nguo so kama muungwana chutama,
Nakuvua vyeo kama nape mbunge wa mtama.
Rudia maandishi/
umeandika ucheshi/
error kibao haziishi/
afu unajifanya ww ni m.c/
hiphop siyo matusi/
tunaelimisha yaani peace/
kweny mistar you are not nice/ wacha nikuchane uwendelee na unesi/

Hii ni fasihi aliyoshindwa stamina/ we mtinda nyusi size yako kina Amina/
mistari yako haina vina/
bado unaleta porojo kwenye hiki kina/
ushamaliza kuandaa dinner/
Au unaleta fitina/ fanya kazi za nyumbani ukimaliza msuke tina
 
Mwaka juzi kulikuwa na battle ya Mitindo huru humu jukwaani ila baadae sijui yaliishia wapi. Huu uzi ni mahususi kwa mashindano. Na kwa kila mwaka mshindi atakuwa ana be updated hapa.

2015 nilikuwepo mimi Daby magnifico Kaka Jambazi Benny Kaboom gwijimimi chlorine gas na wengineo nimewasahau. Taratibu za kushiriki comment jitaje utashiriki then tutapanga round za battle hadi mshindi apatikane. Mshindi anapatikana kwa kura za watu watakaokuwa wanafuatilia. Mimi nitakuwa mwongozaji. Tunataka Mitindo huru sio mistari iliyokwisha kaririwa.

Demo:
natoa kali ya mwaka
Keti kitako uniskie/

MMU leo inatia shaka
Dent wamejaa kawasikie/

Wengi stori zinatia shaka
Still wanashauriwa nakina Shunie/

Nobody could do it
The way I get it up/

I ain't stop til
HR666 na wenzake wasup/.

Keyon Mkwawe dumesuruali kanali mstaafu oscarsolomon b5-click dutty pk life coach CHE Raptino

Karibuni au sio.. tudumishe utamaduni sio. Kama unashiriki sema. Mashabiki karibuni pia.
Tashiriki
 
Yoh, nipeni muda nijikoki kwanza nikatoe loki* najitahidi kujituma bado kwenye mziki sitoki,

Maisha yangu majeraha kama mpira wa pele* kuishi bongo ni karaha bora nisake life la mbele

Maskani hazikaliki umri nao unasonga*Ukiendekeza dhikimtoto wa kiume utagongwa.....

 
Nimeondok kidogo tu umerudi kwa makeke/
Fresh umerudi tuendeleze libeneke?
Unaonekana mwepesi kama mlevi kwenye mlima sekenke/
Ukiwa poa nishtue nikurukie mateke/
Mi ni master wa batle take care braza,
Bado nakulea ingawa wewe umekaza,
Mistar yako dhoofu ipeleke angaza
Mi ndo dingi wa huu uzi nawakaribisha ma maza!!
 
Ntashiriki.....
Demo tu
Nimekuona jamaa una ghani ghani
lakin ulivyo podoa nazan una fanya utani
Umenikumbusha mbali, enzi za utoton
Nikisikia neno kuoga lzm nijifiche uvunguni
Natema chech kam mapank wa korea
Bit moja tyu mpka akina trump mnatulia
Freestyle battle kwangu ni uwanja nyumban
Kam ilivyo kwa kichech guest kwake n kanisan
 
Yoh, nipeni muda nijikoki kwanza nikatoe loki* najitahidi kujituma bado kwenye mziki sitoki,

Maisha yangu majeraha kama mpira wa pele* kuishi bongo ni karaha bora nisake life la mbele

Maskani hazikaliki umri nao unasonga*Ukiendekeza dhikimtoto wa kiume utagongwa.....


Kama ni muda tumekupa
ila naona bado hautoki/
Naona umekurupuka
chaajabu bado hauchoki/
Nakushangaa bwana mkubwa
unawaza tu kuishi mbele/
Usimwone Mbwa-kipindi cha sama-ta-nzania inanjaa sanaaaa/
Ukianza kuwaza kugo-mbele utagongwa sana/
 
Rudia maandishi/
umeandika ucheshi/
error kibao haziishi/
afu unajifanya ww ni m.c/
hiphop siyo matusi/
tunaelimisha yaani peace/
kweny mistar you are not nice/ wacha nikuchane uwendelee na unesi/

Hii ni fasihi aliyoshindwa stamina/ we mtinda nyusi size yako kina Amina/
mistari yako haina vina/
bado unaleta porojo kwenye hiki kina/
ushamaliza kuandaa dinner/
Au unaleta fitina/ fanya kazi za nyumbani ukimaliza msuke tina
Fasihi ni fasihi iwe andishi au simulizi,
Kaa ukijua leo umekutana na mjuzi,
Unaleta za sungura sizitaki mbivu hizi,
Nenda jukwaa lingine huusiki na huu uzi,
Kuna kishazi huru na kishazi tegemezi,
Acha ninyambue ili nikuweke wazi,
Sikukatishi tamaa ila jua huniwezi,
Hii ni ruti ndefu kama mbagala na mbezi,
Huwezi kugani labda fani ya ulonzi,
Nipo siriaz wala usilete mapenzi,
Kubali nikufunze niwe wako mkufunzi,
Yashike niyasemayo uwe mwema mwanafunzi,
Siitaji mgogoro nawe ka Tanzania na malawi,
Mi nachambua hizi sentensi kwa njia ya matawi,
 
Demo,,,
Yoooooo
Nipe wali,pamoja na kachumbali
Nyumbani kwetu,makochi yamekaa mbali mbali
Wewe unaitwa nani,ashirafu au ally
Ngoja nikimbie, naogopa maaskari
Usilete ufogo, kwanza bonge la chogo
Kwetu usije, kwanza Leo hamna ukoko
Sema nikupe ugolo, gongo au mnyololo
Mtoto mdundo, mamiguu kama nyundo...
 
Asante mkuu Daby kwa hiyo mention japo kuna kisilani kimetokea sikuipata.

Mara nyingine, nasimama kwa kipaza;
so kwa bunduki. Nawamurder kwa stanza;
rap mi wa kwanza, freestyle ndo naanza;
utaambia nini mtoto wa mama mi ni faza;

yeah!
 
Kama ni muda tumekupa
ila naona bado hautoki/
Naona umekurupuka
chaajabu bado hauchoki/
Nakushangaa bwana mkubwa
unawaza tu kuishi mbele/
Usimwone Mbwa-kipindi cha sama-ta-nzania inanjaa sanaaaa/
Ukianza kuwaza kugo-mbele utagongwa sana/
We mzembe huwez hii bora ukalale
Au ndio walewale , wakuitwa bab tale

Acha shobo , vidume tutakupumulia
Au sió riziki umekuj jf kutuchafulia.

Nakufunza mzee usijibu kila post!!
Si unachek kama hii ilivyo ku kost

Umeumbuka kama demu alie azima dera la shosti
Huku ukijiuliza sijui utaanzaje kupost
 
Demo,,,
Yoooooo
Nipe wali,pamoja na kachumbali
Nyumbani kwetu,makochi yamekaa mbali mbali
Wewe unaitwa nani,ashirafu au ally
Ngoja nikimbie, naogopa maaskari
Usilete ufogo, kwanza bonge la chogo
Kwetu usije, kwanza Leo hamna ukoko
Sema nikupe ugolo, gongo au mnyololo
Mtoto mdundo, mamiguu kama nyundo...
Nipe wali pamoja na kachumbali,
Kama umeisha we nipe tu ata ugali,
Kama nao amna nipe chochote tafadhari,
Mana hapa nilipo tumboni mwangu so shwali,

Nyumbani kwetu makochi yamekaa mbali,
Mchana nzi ukisu mbu yani huwa hatulali,
Si unajua uswazi taka kila mahali,
Mbele panga nyuma rungu yani kitaa hatali,

Ngoja nikimbie naogopa askari,
Mana jana tu nilikamatwa kwenye kamari,
Mwambie dogo ajifiche juu ya dari,
Mi nakimbilia chachi nazuga naenda kusari.
 
Back
Top Bottom