JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

Michael kakimbia tena...haha nyie jamaa mnaogopana.. ok nyie wawili nendeni topic ni Ban . Round mbili mbili. Castr anaanza then unafuata
Hahahaha umeniweka swahiba katik wrk out.......let me see what he got..
 
Na spit madini ghali lugha kali nakimbiliwa na ban,

Naikwepa fasta kama miss chagga kwa broke man,

Nacheki hiyo mikwara naipangua naruka mpaka ndani,

Nimejaa tele Michael Joshua nakungoja nikupe freestyle burns,
 
Michael joshua mchumba katamba kaniona kakimbia,

Hao ndo watoto wa kishua Suma G alituhadithia,

Freestyle nazitusua zinaanguka mia mia,

Sugua gaga sugua beast mode naiachia
Castr mtoto wamama
mach wizz mkali wao
nmetimba juu ya jukwaa we bishoo
Endelea kusugua gaga

Naibuka toka machimbon nkukalishe mkali wa wabovu
AKA wasojua
level hz utasubr sana
level yako ya maua sama
Yap
 
Na spit madini ghali lugha kali nakimbiliwa na ban,

Naikwepa fasta kama miss chagga kwa broke man,

Nacheki hiyo mikwara naipangua naruka mpaka ndani,

Nimejaa tele Michael Joshua nakungoja nikupe freestyle burns,
Nakusubr maana unajivka vyeo
 
Hua mnaniacha domo wazi kwa hii mada ya MMU/
Inanitia simanzi sababu najua hili ni moja ya source ya VVU/
Daby ntakuona michoxho km umemaind mi kusema ukweli huu/
Mwixho wa yote nasema asante na kumshukuru alie juu/
 
Castr mtoto wamama
mach wizz mkali wao
nmetimba juu ya jukwaa we bishoo
Endelea kusugua gaga

Naibuka toka machimbon nkukalishe mkali wa wabovu
AKA wasojua
level hz utasubr sana
level yako ya maua sama
Yap
Baba hii syo topik umerukia treni kwa mbele,

Hiyo ni intro ya the beast umekalia dushelele,

Kwa freestyle hunipiti tulia we chapombe masele,

Kukuru kakara nyingi wenzako walilala mbele,
 
Castr nilikuwa nikipanga battle raia wanapotea sijui walikuwa wanaenda kuandika kwanza. Nwei kama B click yupo free aje mpige battle shunie achague mada...haha
zawadi pia watapata kwa mshindi
 
Baba hii syo topik umerukia treni kwa mbele,

Hiyo ni intro ya the beast umekalia dushelele,

Kwa freestyle hunipiti tulia we chapombe masele,

Kukuru kakara nyingi wenzako walilala mbele,
Lete topic naona povu limeanza kukutoka nkusambalatshe
 
Nichane kwanza Kuna MTU kaniita namsubiri Aulize then ntaunganisha majibu huenda mkawa na swali moja we ni chane tu kwani Jinsia inahusikaje kwenye michano???twende kazi
hahahhhh
 
Back
Top Bottom