JF Hip-hop frestyle battle

JF Hip-hop frestyle battle

Hivi swahiba wewe n ke/me...jibu kwa ufupi haraka kabla sijakuchana
Nichane kwanza Kuna MTU kaniita namsubiri Aulize then ntaunganisha majibu huenda mkawa na swali moja we ni chane tu kwani Jinsia inahusikaje kwenye michano???twende kazi
 
Nichane kwanza Kuna MTU kaniita namsubiri Aulize then ntaunganisha majibu huenda mkawa na swali moja we ni change tu kwani Jinsia inahusikaje kwenye michano???twende kazi
Haha... ndiyo hilihili....wala usihangaike kusubiria la huyo..
Ndiyo hili
 
Castr nilikuwa nikipanga battle raia wanapotea sijui walikuwa wanaenda kuandika kwanza. Nwei kama B click yupo free aje mpige battle shunie achague mada...haha
Sijaon nikipAngiw battl mpaka mizuk ina kata
.............
 
Mleteni nimpasue kwa mistari konzi,

Akifika mniambie niko hapa nimekula pozi,
Michael kakimbia tena...haha nyie jamaa mnaogopana.. ok nyie wawili nendeni topic ni Ban . Round mbili mbili. Castr anaanza then unafuata
Sijaon nikipAngiw battl mpaka mizuk ina kata nitawaita wapiga kura... mtu mwingine asichane tuwaachie hawa jamaa wawili mpaka mshindi apatikane.
.............
 
Yooo yooo yooo

Ndani ya jf kumejaa mathinkers, lakini wanamezwa na masinkers

Unaweza uliza swala na maana, lakin unaonekana una laana

Thread za pumba, ndio zinatambaa

Hivi wana jamvi mmejiuliza, kwann mnapenda kujadili mauzauza?

Bongo tuna rais wa ujenzi, hata nzi akiacha ujinga asali hatengenezi?

Viongozi nao wanataka miongozi, najiuliza hawajui uongozi?

Jf ndio nyumbani, ndio wangu wa wa ubani!
Oyooooooo!!tisha sana mkuu
 
JF nagonga michepuko, Japo kidoleni nna pete/

Sina shilingi kwenye mfuko/
Ila nawapa nawanyonya mate/

Hata njiani nachapa mat*ako,
Bila aibu ka Bashite/
 
Ngoja nikujibu kwa ufupi na haraka Mimi ni SEMENYA
Siulizi kwa ubaya ndugu.... na kule ulikoona natajwa nina ID nyingi ni utani tu japo sikuzuii kuamini au kutokuamin.
 
Back
Top Bottom