Nawawesha, nawapakata nachinjaOk ok so kazi imekua shughuli, mtengwa kasingizia lugha
Nabeba versz kama kuli, mtengwa acha ukuda
We ni mpoto mkosa nauli, bado unataka kuja?
Wenzako wote wenye viburi, wamesiz kama Chdi na Maunda
Usilazimishe kukaza msuli, unatapa tapa kama Yuda
Msaliti kwa vipande kumi, snitch ni mtengwa buda
Mnapata presha, ile dizaini ya hafsa kazinja
Nashanga unajiita rapa, kwenye michano umesha chuja
Mwana wa hizi falsafa, Castr asante kwa kuja