Daddy kila nikisoma comments zako najikuta mbunye yangu inavimba sana.Nakwea mnazi na mke ninaye ndani.
Kukwea mnazi haina maana sina mwanamke, usichanganye mambo mkuu
Naenda kuchekea mbele Mimi...mabinti wamejaa tele bro mi mwenyew nimejiokotea pisi yangu humu saivi ipo inamalizia kutandika kitanda hapa
😅😅😅 angalia usije ukapaliwa na kicheko huko uendakoNaenda kuchekea mbele Mimi...
Wewe ni mgeni humu. Don't make a final conclusion kuhusiana na swala hiliHapa ni sawasawa na kurusha jiwe kituo cha polisi.Hapa nikujidanganya hamna kitu kabisa.JF imejaa midume tuh wengine wanajifanya mabint.
Shemeji yangu mchangamfu Lovie Lady alipotelea wapi mkuu?Wewe ni mgeni humu. Don't make a final conclusion kuhusiana na swala hili
Njoo pm baby girl
Kidume kinatumia I'd ya kike kinakupa mahaba yote kwenye kuchat pamoja na picha feki za kike atakutumia kwamba ni yeye mwisho wa siku mtaishia kutoonana kama vile ambavyo hamfahamiani.Hapa ukijichanganya utajikuta unarusha vaibu kwa kidume
Ila mahusiano ya JF 😹😹![]()
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mahusiano yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mahusiano yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa...
- Nifah
- bold mimi nifah rasmi the bold tumeachana
- Replies: 1,558
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Leta niikande baby drama
Aibu utaona wewemabinti wamejaa tele bro mi mwenyew nimejiokotea pisi yangu humu saivi ipo inamalizia kutandika kitanda hapa
Ni suala la muda tuAibu utaona wewe
HatariHapa ni sawasawa na kurusha jiwe kituo cha polisi.Hapa nikujidanganya hamna kitu kabisa.JF imejaa midume tuh wengine wanajifanya mabint.