Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 221
- 519
Hapa ni sawasawa na kurusha jiwe kituo cha polisi.Hapa nikujidanganya hamna kitu kabisa.JF imejaa midume tuh wengine wanajifanya mabint.
Mkuu unatafuta mweza huku??Hapa ni sawasawa na kurusha jiwe kituo cha polisi.Hapa nikujidanganya hamna kitu kabisa.JF imejaa midume tuh wengine wanajifanya mabint.
Umemuumbua huyu.![]()
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mahusiano yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mahusiano yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa...
- Nifah
- bold mimi nifah rasmi the bold tumeachana
- Replies: 1,558
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Kuna pisi za kwenda humu, mke wangu niliyemuoa 2023 nilimpata humu
Nakwea mnazi na mke ninaye ndani.Hueleweki mara unakwea mnazi mara umeoa.
Ndio maana sishoboki huku kizembeHapa ukijichanganya utajikuta unarusha vaibu kwa kidume
Ila usiingie kizembemabinti wamejaa tele bro mi mwenyew nimejiokotea pisi yangu humu saivi ipo inamalizia kutandika kitanda hapa
hapana mkuu huyu yuko fiti sanaIla usiingie kizembe
Win...onehapana mkuu huyu yuko fiti sana