fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,945
- 24,669
Yupo, tumemua mambo yetu yawe private. Ndiomana nikamwambia mleta mada kuwa yeye ni mgeni humu, akiwa serious atampata wa kuendana nae na mambo yatakuwa super kati yao.Shemeji yangu mchangamfu Lovie Lady alipotelea wapi mkuu?