JF HARDtalk na "Mshana JR"

JF HARDtalk na "Mshana JR"

Mshana Jr Amani ni kitu ambacho kila mtu anaelekea kutafuta, kila mmoja anahitaji amani ya ndan (Inner Peace) lakini kwa wengi wetu ni kama tunatwanga pili pili badala ya kuipata amani tunayotafuta tumejikuta katika hali mbaya ya ukosefu wa amani.

Kwa upande wako, Tupe formular unayoifaham ya kumletea mwanadam inner peace tukajifunze kwa hio.
 
Ishi kiroho usiishi kidunia
Jijengee ridhiko binafsi usitake zaidi
Kuwa msamehevu na mwenye tafakuri kwa kila kitu
Ishi kwa kiasi
Epuka kula kitu chenye damu

Jr
 
Back
Top Bottom