Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,435
- 829,791
Nimewaumiza na kuwatesa baadhi ni member wa JF na nilishawahi kuweka mada ya kuomba radhi
Jr

Nimewaumiza na kuwatesa baadhi ni member wa JF na nilishawahi kuweka mada ya kuomba radhi

Nn kinakufanya ujutie ambacho umefanya kwa msaada wa uchawi au haujafanya ila unatamani ungefanya ?. Kwa uchawi au hiyo elimu yako ya ulozi.Mimi sio mchawi na sijawahi kuroga lakini ili kufikisha ujumbe ilinibidi kuvaa uhusika... Nina elimu kubwa na ufahamu juu ya uchawi ushirikina na ulozi hivyo najua ninachomaanisha
Jr![]()
Naomba uweke link, isijekuwa ndio ile thread yetuNimewaumiza na kuwatesa baadhi ni member wa JF na nilishawahi kuweka mada ya kuomba radhi
Jr![]()



Ndio nimefanya kazi mochwari na pia kwenye matanuri ya kuchoma maitiJe ulishawahi kuwa mfanyakazi wa kuhudumia wapendwa wetu waliotangulia mbele za haki(Mochwali) kama mwenyewe unavyojinasibu kwenye nyuzi zako mbali mbali?
Sent using Jamii Forums mobile app

Nataka na mimi nijitolee unitese kuhakikisha kama ni kweli?Nimewaumiza na kuwatesa baadhi ni member wa JF na nilishawahi kuweka mada ya kuomba radhi
Jr![]()
Vyanzo mbalimbali

Hapana Haiwezekani kabisa...Nataka na mimi ninitolee unitese kuhakikisha kama ni kweli?
Je hilo linawezekana

Changamoto/tukio gani lililowahi kukutokea kwenye moja ya kazi zako tajwa hapo juu ?Ndio nimefanya kazi mochwari na pia kwenye matanuri ya kuchoma maiti
Jr![]()
Mwanzo ilikuaje ukaweza?na nini ilikua sababu Mkuu?Hapana Haiwezekani kabisa...
Jr![]()
Nimewaumiza na kuwatesa baadhi ni member wa JF na nilishawahi kuweka mada ya kuomba radhi
Jr![]()
Aaaaaaah hapanaNaomba poo.. Naingia meditation... Tutaonana usiku
Jr![]()

tuonane pakikucha muda wa kulala wewe naona ndo kumekucha

Jina sahihi kabisa
Umri above 30 marital status married with 2 kids
Mwajiriwa na mjasiarimali
Naishi Pwani
Jr![]()