Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,757
MmhNdio nimefanya kazi mochwari na pia kwenye matanuri ya kuchoma maiti
Jr![]()
MmhNdio nimefanya kazi mochwari na pia kwenye matanuri ya kuchoma maiti
Jr![]()
Hapa usingizi ushapepeaHizi thread zinaweza kusababisha ndoto mbaya usiku.
Hapa unafanya nn kwenye uzi wa kutisha?Hapa usingizi ushapepea
Mawazo yapo mochwari naogopa



Nina mji wangu, kwa sasa nina madeni ya kawaida kibiashara... Mimi ni mkristo mlutheriUmepanga au umejenga je una madeni una sali kanisani au msikitini au kwenye milima na miti
Sent using Jamii Forums mobile app

Aaaaaaah hapanatuonane pakikucha muda wa kulala wewe naona ndo kumekucha
Sent using Jamii Forums mobile app


niko hewani nimerejea
Huyu jamaa nahisi ni nurse/doctor ameona maiti za kila aina ndo maana anapenda sana hizi issue za mochwari





Hapana mkuu

Vituko vya mochwari - JamiiForums soma iyo na hii pia Kuna watu hufa mara mbili - JamiiForumsHukuwahi kukutana na mkasa wowote wa kutisha au kuogofya huko mochwari?
Sent using Jamii Forums mobile app

Nimetembea sehemu nyingi duniani na kujifunza mengi nilipokuwa kijanaMshana Jr ubongo wako umeshiba mambo mengi sana, nini siri ya mafanikio?
Sent using Jamii Forums mobile app

Najitahidi kuipata

Formula zake hazifanyi kazi hivyoMwanzo ilikuaje ukaweza?na nini ilikua sababu Mkuu?

Hapana mimi sio mchawi wala mshirikinaMshana jr hivi wewe ni mchawi au mshirikina?? au vyote
unisamehe bure kwa lugha kali

Ishu ya ikulu ni ishu ya mamlaka, yeyote anayeitwa rais yupo kimamlaka... Mamlaka hairogwi... Mengine ni mambo binafsi ngumu kuyajuaNaomba uutupie tena huo uzi wa kuomba msamaha.
Swali.
Je, ni kweli kwamba ikulu ya raisi inalindwa na nguvu za giza??? Na kwamba hata raisi naye huwa na mifumo hiyo???
Sent using Jamii Forums mobile app
