RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,769
- 129,508
Hawa wakugaluga sijui wameibukia wapi...Sio lazima uhudhurie mkuu.
Na wala hujalazimishwa my dear
Hawa wakugaluga sijui wameibukia wapi...Sio lazima uhudhurie mkuu.
Na wala hujalazimishwa my dear
Wewe nenda kale mihogo acha sisi tuibiane.Hata kama nyinyi ni wajanja wa mjini lakini tafuteni mbinu mpya
Jipangeni muandae yenu gulioni.Maisha ya nyuma ya keyboard kuwa reality. Tulio koromije naona party imetukosa
Madam count on mee!!!!@mtu chakeSio lazima uhudhurie mkuu.
Na wala hujalazimishwa my dear
Mavazi madam wekeni vaaa pendezaaa!!!wengine siye wabayaaaaa!Karibu sana mkuu

Mkuu wamekutosa ukumbi naona unaleta stori za mbugani....utawalipia?Kitendo cha kunichagulia cha kuvaa ninakosa qualifications.
Pia, Eneo la party yenyewe haiko poa.
Ishu kama hizi tupeni wazoefu, watu tukale bhata ufukweli au mbugani.
Unahitaji partner au unahitaji kulipiwa?Nahitaji partner pleaseee....!!!