Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Unachokitafuta utakipata Tu@Cole Williams kama mrugaruga vile![]()
Unachokitafuta utakipata Tu@Cole Williams kama mrugaruga vile![]()
Madongo kuinama nikaribu na madongo kuinuka.Wale wa madongo kuinama tujuane hapa![]()
Mkuu Madame B Id yake iko verified pili member wengi tu humu wanamjua na wanajua anapoishi na tatu alishaandaa party zote zilizolipita na hakukua na tatizo lolote.Dont say I didnt warn you. Unamkabidhi vipi pesa mtu ambaye hujawahi muona na kwenye mitandao anatumia ID fake? Bora hata angekuwa mwanaume. Hawa wanawake tunaokutana nao bara barani, unamtumia elfu kumi na tano ya nauli aje kwenye tukio anakutapeli, hela harudishi na anatoa udhuru kibao, then hao hao leo ndio unakabidi 2,100,000 cash mkononi? Unategemea muujiza gani hapo zaidi ya kuwa dissapointed?
Roho mbaya umeanza lini?Utapigwa wewe mi sikugombelezei ujue
Hahaaaa, kazia kwa nguvu HajarKwa hiki ulichoandika nahitimisha kwa lile neno lako pendwa kabisa. 😂😂😂
NAKAZIA
Mmmmmh.your beauty captures me, jamiiforum sikuwahi kudhani wala KUHISI ina watoto wadogo namna yako.
Siku yanguni njema leo.
OK, Asante kwa taarifa!Mkuu Madame B Id yake iko verified pili member wengi tu humu wanamjua na wanajua anapoishi na tatu alishaandaa party zote zilizolipita na hakukua na tatizo lolote.
Na siku tolei fee entry
Naomba nikipate ASAP

Kama huji acha payo. Andaa party yako ya married wives party watakuja acha kushoboka na party walizoandaa wengine.
Mashangingi oyee




Inna swalaata kaana alal mu'uminiina kitaaban maukuta.....swadakallah
Andaeni jamani Tripple 7 kiwanja cha nyumbaniKama huji acha payo. Andaa party yako ya married wives party watakuja acha kushoboka na party walizoandaa wengine.
Mashangingi oyee

Karibu mkuuNtakuwepo
Bhasi usijali eeeeheAcha roho mbaya![]()