Kung'atwaMbu hana athari kwenye sodaa miye!!!ntakunywa tu sodaa
Karibu sanaIdea nzuri sana.Natumaini nitashiriki.
Ngoja nianze kujifunza step mbali mbali za kucheza maana sitaki unishinde kukata mauno nna mpango kukubambia siku hiyo hadi Mzigua aone wivuMziki lazima wee...siku hiyo nataka kiuno kikatikie kinondoni kwa kuyarudi mangoma!![]()
![]()
Tena kaa nao mbali wanywa soda![]()
Hilo eneo haina mbu na wakitokea wakawepo siku hiyo tutatumia dawa.
Wanywe majicute b kasikia, nasikia wasiokunywa ndo wanaongoza kuja kututangaza humu vituko vyetu.
Mara utasikia fulani alilewa akajitapikia, fulani alizima, fulani ilikuwa hivi.
Komesha ni kutoweka soda wala juice, iwe pombe na maji tu.




wahurumie jamani wapeni thoda nyingiiiKaribuni mkuuMikoani tunaruhusiwa kujumuika?
Ngoja nianze kujifunza step mbali mbali za kucheza maana sitaki unishinde kukata mauno nna mpango kukubambia siku hiyo hadi Mzigua aone wivu

Wee uje na baby wako hakuna wa kubambiwa kwenye maparty eboo!Ngoja nianze kujifunza step mbali mbali za kucheza maana sitaki unishinde kukata mauno nna mpango kukubambia siku hiyo hadi Mzigua aone wivu
Kutakuwa na security camera every where.. tukikukamata na huo wizi itakubidi uondoke na Gudume hadi gheto kwakeWe nabeba vzr soda sitaweza kunywa nne kwa wakati mmoko lazima nibebe!!!!
Hyo masti hyoo!!!
Haahaaa mama umepania! Si kwa mashuti hayaHilo eneo haina mbu na wakitokea wakawepo siku hiyo tutatumia dawa.

Nashangaa sweetheart hela zote nilizonazo afu nisikulipieBabe![]()
Wee uje na baby wako hakuna wa kubambiwa kwenye maparty eboo!
Mwanaume mwenzako agharamie we ubambie? Tafuta wako






Wanywe majiwahurumie jamani wapeni thoda nyingiii
Wewe tena kipenzi changu Sultan wangu lazima unilipieNashangaa sweetheart hela zote nilizonazo afu nisikulipie



Waambieni waandaji wafanye yote lakin kusikosekana Nyagi,Glandz au Value