JF Garden (Bustani ya Jei Efu)........

Hapo mwenye bahati ni mimi tukwa kuwa sikuonekana huko kwenye hiyo garden.
Bange bhana m2 unakuwa na imagination za ajabu................
Ndio maana nilinyamaza najua sasa zimeshamuisha TANMO ku-mukichwa..
 
Last edited by a moderator:
Mzee nanihii Bana naye nilimfikiria kama wale wadudu wanaotoa miiba, labda sababu ya unoko wake kwa vibinti vyake humu.

Mkuu tuheshimiane......... Tutaonana wabaya aisee.............LOL

220.jpg
 
Hapo mwenye bahati ni mimi tukwa kuwa sikuonekana huko kwenye hiyo garden.
Bange bhana m2 unakuwa na imagination za ajabu................
Ndio maana nilinyamaza najua sasa zimeshamuisha TANMO ku-mukichwa..

Aaahaa wewe tena si ndiyo akina hawa hapa chini? Au ulishaacha?

[/QUOTE]Kuna vijamaa nilivifikiria kama vindege vidogo vidogo, labda kwa sababu kila siku viko bize kutongoza huku mara kule.
[/QUOTE]
 
Mbona unakuwa kama Chama Cha Magamba Arifu?
Uwanja wetu sote, wewe unajimilikishia eti ni wa kwako pekee..
Acha hizo Bana..

Hivi Mtu Chake amepona ile Heart Konkesheni uliyomsababishia?
Hahahaaaa hata sina taarifa aisee ila atakuwa kapona...
Nahisi ameamua kuja na ID ya kike....Heheheeee ngoja mtongozane lol
 
Hebu hukooooo,, alaaaaa!!! :ban:
Busu langu kabisa lile, na wewe eti unasogeza kashavu kako kana kwamba ni kwa ajili yako.. Ebo!!!
Hahahaaaa hivi TANMO umesahau kuwa mimi ndie MOD wa chitchat eeeeh?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa hivi TANMO umesahau kuwa mimi ndie MOD wa chitchat eeeeh?

Kama wewe ni MOD basi mimi ni MUD wa Chit Chat..
Aisee kwa hii ishu ya Catherine usitake nikuhamishe Jukwaa.
Wewe bakia na Preta wako, Catherine niache nimalizane naye mwenyewe.
Sawa Baba? LOL
 
Back
Top Bottom