JF Freestyle battle special thread

JF Freestyle battle special thread

Nimeishi naye toka kabla sijazaliwa, ndio usishangae
Akanilea akanitunza, sikuona alipokosea
Sio Ukimwi, ni maneno ya watu ndio yanamchuria
Utanashati wake umemponza
Ustaarabu wake haukumlinda
Maisha yalipotononeka waswahili walifaidi kwa maneno
Sio Malaya ni nduguze, wabongo wameshupalia
Sio Ukimwi nasema aya ya kwanza nimemaliza

Chekechea hadi chuo kikuu ndie alinilinda
Wanae aliwapenda, kwa mkewe upendo ulianzia
Majirani wanamfahamu, wema wake wataunyumbua
Sio Ukimwi narudia aya ya pili imetimilika

Mawazo yalimganda, furaha ilimpotea
Wanafiki walifurahia, njaa ilipomwelemea
Wabongo walimponda Ukimwi umemnyemelea
Sio Ukimwi nakataa aya ya tatu ndio tamati

Sababu ninazo nyingi sio kidogo
Ingawa hampendi hapa ndio nazimwaga
Uchumi uliposinyaa familia ilidorora
Mke hana ajira, mwana wa kwanza kidato cha nne
Baba Mkwe kisukari kimemkaa, Bi Mkubwa presha juu juu
Sio Ukimwi mfunge yenu midomo mipana kama sufuria za shughuli
Aya ya nne kifungoni nimeitia

Ni kweli wembamba ulipamba na nguo kumpwaya
Peke yake barabarani alinong’ona, nywele hakutia kitana
Kosa sio lake uchumi ndio chanzo cha yote,
Kazi apate wapi pamoja na elimu kujaa tele
Sio Ukimwi nasema tena aya ya tano imeniponyoka

Familia aipeleke wapi?, Maulana ndio aliyomjalia
Akalime wapi ardhi ilishanyakuliwa vijijini
Akauze nini Kariakoo, Kilombero na Kisutu sokoni
Wachina wanauza hadi ubuyu na matango
Sio Ukimwi leo live nawapa mnaopenda majungu
Mbona hamkumsaidia mizigo ilipomwelemea
Jana usiku kaaga dunia maneno lukuki mwamtwisha kaburini
Sio Ukimwi nakataa, Ukweli nimewapasulia
 
for radical:

as far as opportunities are concerned
dont try to waste them on the stand
do something for ur talent, understand?
be a composer not neccesarily an MC
get a lot of quid outa talent u c?
sell them lyrics to rap MC's
life is for the livers
n money is for the makers
so get down on the papers
scratch them with manners
nguli u discovered the guy, cheers!!

thanks 4 tha highlight, appreciated,
but ma man seems exagerrated,
though i also feel under-rated,
i do this 2 get myself mentally straight,
all dis talk abt weed and some shit,
aims at getting ourselves a crowd,
we hope to have our records sold,
maybe 1 day we'll make it platinum,
like ma nigga Pac, lived short but to the maximum.
 
Naombeni ruhusa sasa nimtangaze mshindi! LOL!
 
Battling is the basis for all rap music. The battle is the truest essence of rap and where rap music started. The object of a rap battle is to come up with insulting rap lyrics on the spot (not pre-written or pre-meditated) and rap them towards an opponent. The rapper with the best delivery, lyrics, and crowd response usually wins.

Learn to accept that it's only a vocal battle and there is no chance of you actually losing your life, surviving a rap battle is easier than it seems and happens to both contenders almost always unless a less traditional type of rap is performed, involving physical contact or firearms

Mfano tu....

DSC03553-1933.jpg


Title yenyewe inajieleza namaanisha nini
Naanza na wewe uliyefulia kijana kloroquin
Mwanzoni nilihisi wewe mkali ka vile quinin
Kwa mashairi yako nimegundua sio makini
Ulijigamba ww ni tajiri wa vina na sio masikini
Nakusubiri kwenye next reply nione wako umakini.
Radical na Burn mko wapi kwenye yetu hii fani

Tuendeleee...

DISCLAIMER: MASHAIRI YOTE YATAKAYOPOSTIWA HAPA YATABAKIA MALI YA JAMII FORUM. COM.

naomba mic!
bwamdogo umechemsha
klorokwini nadatisha
kwenye fani ninatisha
warembo napagawisha
ukianza kuzirusha
bandiko nitachapisha
kisha ninalianzisha
ovadozi nazidisha
ukijifanya kubisha
weweeeeeeeeeee ni klorokwini ndani ya nyumba
huku ninayumba yumba
sitaki zenu kasumba.
silete za omba omba
ukizubaa nakomba
kisha ninawakolimba.

weee nguli bwamdogo to kwenye hii fani!
 
naomba mic!
bwamdogo umechemsha
klorokwini nadatisha
kwenye fani ninatisha
warembo napagawisha
ukianza kuzirusha
bandiko nitachapisha
kisha ninalianzisha
ovadozi nazidisha
ukijifanya kubisha
weweeeeeeeeeee ni klorokwini ndani ya nyumba
huku ninayumba yumba
sitaki zenu kasumba.
silete za omba omba
ukizubaa nakomba
kisha ninawakolimba.

weee nguli bwamdogo to kwenye hii fani!

Kloroquin umerudi kwa kishindo japo ulipigwa marufuku,
Ulikimbia wapi wewe kuusaka wako ummarufu wa kuku,
Nilikwambia siku zote Nguli natisha na mambo yako huku,
Kwenye hii fani sioni wakunitisha sembuse wewe wa mmbaruku.
 
Kloroquin umerudi kwa kishindo japo ulipigwa marufuku,
Ulikimbia wapi wewe kuusaka wako ummarufu wa kuku,
Nilikwambia siku zote Nguli natisha na mambo yako huku,
Kwenye hii fani sioni wakunitisha sembuse wewe wa mmbaruku.
tuliza boli mzembe
fani yako ni jembe
a.k.a kupanda miembe
fani hii sio pombe
bora kazuge milembe
tupo gado viwembe
weweeeeee
nimerudi niko fiti
sichezee kiberiti
fani tumeizibiti
jf iko taiti
unaweza kaza buti
silete umahututi

mwendo mdundo! tulia kijana!
 
tuliza boli mzembe
fani yako ni jembe
a.k.a kupanda miembe
fani hii sio pombe
bora kazuge milembe
tupo gado viwembe
weweeeeee
nimerudi niko fiti
sichezee kiberiti
fani tumeizibiti
jf iko taiti
unaweza kaza buti
silete umahututi

mwendo mdundo! tulia kijana!


Zilipendwa wa malaria tulia nitakupa za kidochi
Kama siku ile SINZA ulivyokamatwa ukiiba pochi,
Mtu mwenyewe mweusi tii huonekani hata kwa tochi,
Mlevi wa kupindukia wenzako wanaita mdomo wako mdomo sponchi,
Tulia kimbaombao nitakupeleka moshi ukanywe na ulewe kwa kitochi.

Need I say more even J mo know ma lyrics
I can rap I cant talk proof? ask Ludacris
 
Zilipendwa wa malaria tulia nitakupa za kidochi
Kama siku ile SINZA ulivyokamatwa ukiiba pochi,
Mtu mwenyewe mweusi tii huonekani hata kwa tochi,
Mlevi wa kupindukia wenzako wanaita mdomo wako mdomo sponchi,
Tulia kimbaombao nitakupeleka moshi ukanywe na ulewe kwa kitochi.

Need I say more even J mo know ma lyrics
I can rap I cant talk proof? ask Ludacris
boda zangu bei kali,
huziwezi bana nguli
sisi ni watu wa zali
pamba zetu kali kali
mamtoni brazili
wanajua zetu dili.

bwamdogo umechooooka
sura kama unatapika
uko dark kama wingu la masika!
ukifa nani atakuzika?
acha kuruka ruka
fani hii tumefika!
watu tumekamilika!
daka mic mc nguli! acha tuburudishe jf! nakuaminia
 
boda zangu bei kali,
huziwezi bana nguli
sisi ni watu wa zali
pamba zetu kali kali
mamtoni brazili
wanajua zetu dili.

bwamdogo umechooooka
sura kama unatapika
uko dark kama wingu la masika!
ukifa nani atakuzika?
acha kuruka ruka
fani hii tumefika!
watu tumekamilika!
daka mic mc nguli! acha tuburudishe jf! nakuaminia

Mazee tuko pamoja kuna watu wanakopy zetu mistari/line
jana nimepata PM kutoka kwa prof shizo anaomba vina
Nikaingiwa na wasi siunajua mchizi siku nyingi ana jina,
Isije kuwa niwa kufoji au katengenezwa beijin china,
watoto wanakula ndumu hawataki kuumiza vichwa

Wengi wao wamekuwa mdebwedo
wanaishia kukwapua power windo
Hata suruale zao wanashindwa kuweka pindo.
 
Mazee tuko pamoja kuna watu wanakopy zetu mistari/line
jana nimepata PM kutoka kwa prof shizo anaomba vina
Nikaingiwa na wasi siunajua mchizi siku nyingi ana jina,
Isije kuwa niwa kufoji au katengenezwa beijin china,
watoto wanakula ndumu hawataki kuumiza vichwa

Wengi wao wamekuwa mdebwedo
wanaishia kukwapua power windo
Hata suruale zao wanashindwa kuweka pindo.

naelewa zungu langu,
ndio mana niko chengu
wakipita anga zangu
nashikisha njemba pingu
imetulia hiyooooooooooooo
weka mtutu begani
acha tuzame porini
kuwashuti wahaini
wagombea wa bungeni!
heheeeeeeeeeeeeeeeeee
imekutachi hiyooo.
wazembe walale mbelee
jeiefu tupo shulee
hatutaki makelele.
tukiwa kwenye sebule
tunaitunga mishalee

weka chorus bob nguli!
 
am in my office having a cup of tea na kiazi,
cant go to lunch coz nachapa kazi,
no am lying itz just mfukoni mwepesi,
in this f*** life u gotta go kwa kasi,
word of advise though,
youngsters dont do dope,
it will destroy ur life and hope.
 
naelewa zungu langu,
ndio mana niko chengu
wakipita anga zangu
nashikisha njemba pingu
imetulia hiyooooooooooooo
weka mtutu begani
acha tuzame porini
kuwashuti wahaini
wagombea wa bungeni!
heheeeeeeeeeeeeeeeeee
imekutachi hiyooo.
wazembe walale mbelee
jeiefu tupo shulee
hatutaki makelele.
tukiwa kwenye sebule
tunaitunga mishalee

weka chorus bob nguli!

Inabidi tuhamishie mistari yetu kwenye pm mwana
siwaamini hawa vijana hawachangii ila wanaona
na ukizingatia hwajalala huu ni mchana
 
Inabidi tuhamishie mistari yetu kwenye pm mwana
siwaamini hawa vijana hawachangii ila wanaona
na ukizingatia hwajalala huu ni mchana
he he hee! inawezekana sana!
kimya kimya wamebana
reality wameona
mazee umewachanaa!
kopiraiti hatuna
watatuibia sanaa!

ah ah ah!

acha waibe,muhimu wasitufatiliee! wasituandafiee!
watuache kwenye fani tutulieee
raha tuwachombezeee
dozi ya klorokwini iwahudumiee
marazi yao tuwatibieee
nikishindwa tuwaombeee.

songambeleee!

niko gado kamili
na nguli yupo namba mbilii
radical yuko kama jabalii
wavimba macho hatuwafagilii.
 
he he hee! Inawezekana sana!
Kimya kimya wamebana
reality wameona
mazee umewachanaa!
Kopiraiti hatuna
watatuibia sanaa!

Ah ah ah!

Acha waibe,muhimu wasitufatiliee! Wasituandafiee!
Watuache kwenye fani tutulieee
raha tuwachombezeee
dozi ya klorokwini iwahudumiee
marazi yao tuwatibieee
nikishindwa tuwaombeee.

Songambeleee!

Niko gado kamili
na nguli yupo namba mbilii
radical yuko kama jabalii
wavimba macho hatuwafagilii.
hehehe!
 
Burn na Masanilo katika yetu fani mnaniabisha
Najua ni ngumu kuumiza kichwa JF tunatisha
Kuna wengi wataiga msiogope tutawashusha busha
Mmbanwa sana na baridi basi hameni huko Arusha

Nguli huku zenji twala bata
Bata unamfaidi walahi ukimpakata
Ndimu na pili pili hakika utamu utaupata
Bata huyu si sawa na samaki wapwa tafuteni Bata
 
Nguli huku zenji twala bata
Bata unamfaidi walahi ukimpakata
Ndimu na pili pili hakika utamu utaupata
Bata huyu si sawa na samaki wapwa tafuteni Bata


Ha ha ha nilikuwa sijaliona hili mazee
icon10.gif
 
he he hee! inawezekana sana!
kimya kimya wamebana
reality wameona
mazee umewachanaa!
kopiraiti hatuna
watatuibia sanaa!

ah ah ah!

acha waibe,muhimu wasitufatiliee! wasituandafiee!
watuache kwenye fani tutulieee
raha tuwachombezeee
dozi ya klorokwini iwahudumiee
marazi yao tuwatibieee
nikishindwa tuwaombeee.

songambeleee!

niko gado kamili
na nguli yupo namba mbilii
radical yuko kama jabalii
wavimba macho hatuwafagilii.

Mzee huu ni wimbo kamili utatoka muda si mrefu nimeamua kuingia studi kbs kwa msaada wa invisible.

am in my office having a cup of tea na kiazi,
cant go to lunch coz nachapa kazi,
no am lying itz just mfukoni mwepesi,
in this f*** life u gotta go kwa kasi,
word of advise though,
youngsters dont do dope,
it will destroy ur life and hope.

Hey Radical gimme some more man!

Nguli huku zenji twala bata
Bata unamfaidi walahi ukimpakata
Ndimu na pili pili hakika utamu utaupata
Bata huyu si sawa na samaki wapwa tafuteni Bata

Masa twende kazi nataka tu freestyle na MZENJ mwambie ajirejiste.
 
Mzee huu ni wimbo kamili utatoka muda si mrefu nimeamua kuingia studi kbs kwa msaada wa invisible.



Hey Radical gimme some more man!



Masa twende kazi nataka tu freestyle na MZENJ mwambie ajirejiste.

ah ah ah, yo yo,
am back man, the big Dons got me lost,
now am back at ma post, ready to take a rest,
am ma keep winning this contest,
am keep digging into niggas chests,
what cha got, heard you been moving,
people say you've gone missing,
rumours are that you've been in Alaska skating,
but since we here chattin, ain't no body saying nuttin,
coz i know nigga you got our backs 4 real,
though i also know you got a secret record deal.
 
Mzee huu ni wimbo kamili utatoka muda si mrefu nimeamua kuingia studi kbs kwa msaada wa invisible.



Hey Radical gimme some more man!



Masa twende kazi nataka tu freestyle na MZENJ mwambie ajirejiste.

ah ah ah, yo yo,
am back man, the big Dons got me lost,
now am back at ma post, ready to take a rest,
am ma keep winning this contest,
am keep digging into niggas chests,
what cha got, heard you been moving,
people say you've gone missing,
rumours are that you've been in Alaska cycling,
but since we here chattin, ain't no body saying nuttin,
coz i know nigga you got our backs 4 real,
though i also know you got a secret record deal.
 
hey man i'v been injoyin my vacation
Niko na mama mida kama hii inatawala harufu ya lotion,
Hapa baba napuliza koloni kali ya kiana inasababisha ma do waloose motion,
Nahisi na kuamini kupendelewa na Mwenyezi Mungu, U gotta love ths nation.
Shule inabana nini nisirushe zako stimu nahisi sa hizi unasoma topic ya nationalization
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom